Mpaka Sasa naona Kila Imani na mbingu yake, wakristo wanaamini katika paradiso,
Yesu alimwambia yule mwizi msalabani:
“Leo hii utakuwa pamoja nami katika Paradiso.”
(Luka 23:43) Lakini pia waislam wapo na Firdaus
Hao ndio warithi, ambao watairithi Firdaus, watadumu humo milele." (Surah Al-Mu'minun 23:10–11).
Sifa ya firdaus na paradiso uko mbinguni tofauti kabisa, japo njia ya Kufikia katika hizo mbingu ni kama zinaendana sana, japo Kila mmoja anaona yeye yupo sahii na mbingu yake ni sahii kuliko mbingu ya mwingine.
Sifa zake ni kama zinafanana hakuna kifo, hakuna maumivu, Kuna furayaani utamu umeongezwa mara nyingi kuliko huu wa duniani.
Inaonekana mambo ni mchanganyiko sana, vipi Kwa tabia, matendo yako unajiona ukifika paradiso au firdaus?