Unatamani kuingia mbingu ipi? Firdaus au paradiso ya milele?

Ile ya wake 70 ingenigaa zaidi..
 
Kama ukilala tu hukumbuki chochote sembuse kufa may be tusubiri tuone kama kweli kuna mbingu
 
basi mkuu kupanga ni kuchagua upeleke moto dunian halafu zile 70 ukawaone wenzako wanazichapa au uwe mtakatifu huku ukafaidi mbele ya safari
Ngoja tuangalie sasa, hayo mambo ya baadae tutajua huko huko.
 
Firdaus.

Ile ya Mzee Tupatupa yenye Pombe na wanawake...😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…