Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
Aisee naunga mkono hoja ile michezo ya kutekana na matatizo yote ndio huwa yanaanza hivi 🤣Hakuna
EeeeAisee naunga mkono hoja ile michezo ya kutekana na matatizo yote ndio huwa yanaanza hivi 🤣
Shemu tulia Kaka aje hakuna tatizo..😂Jamen mshana anahusiana na nin hapa
Yaani nitamani kukutana vibibi robot?Habari wana MMU je, wewe mwanaume wa JF ni mwanamke gani wa JF ungependa kukutana naye hivyo hivyo kwa mwanamke ni mwanaume gani wa JF ungetamani kukutana naye.