Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Ahhahah kaka wivu utakuwa unamsumbu; si anajua pisi yake ilivyo? Mvumilie tu bana, atakaa sawa.

Afu bila shaka atakuwa ni tall dark guy eeh[emoji126][emoji126]
Anizingue anaanzia wapi kwa mfano? Sio hata yeye halafu. Niko na kaka ake Heaven Sent ananipeleka resi acha tu rafiki yangu. Uje tu nikusimulie yanayonisibu.
Mpaka nimepungua kilo.
 
Amen.. Amen..Baby Sis.. Naelewa mambo ni mengi.. But..All the Best Babe.Dada is proud of you..

Karibu Mdogo wangu.. Uje tuone namna huu mwaka unaweza kuisha.. Kama Mungu atatufikisha huko..

Wishing you all the Best..

Nakupenda. Nakuombea. Nakubariki.
 
Jamani bby wangu. Hata nilishasahau jamani kama yupo. Mapenzi yetu yalikua ya jukwaani tu hata PM sidhani kama tuliendaga.
Nimejaribu kumtag hata ID yake siooni.

Sasa wivu ulikua unaona wa nini lakini?[emoji1787][emoji1787]
Alivyokuwa anakubebisha, yaani kuna wakati nilitamani kumtumia watu wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…