Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Saint Anne huyu dada nahisi ana madini sana ukikaa nae wawili sehem iliyotulia. Unaweza kujifunza mengi ukiwa nae.


Natamani kukutana na wewe, natamani kuja Mbeya.
OMG[emoji847]I'm humbled [emoji120][emoji120]
You're my admirer.
Tuombe uzima na kibali,tutaonana TU!
Hata kama siyo hapa duniani basi ni Mbinguni.
Utamuona Anne na kuongea naye.

Upo mkoa gani??
Karibu sana Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anne, nisikilize mimi, achana na huyo Osama bin Laden, hana lolote zaidi zaidi tu amekutamani ili kukupiga mashine.
[emoji38]Abee mkuu
Hakuna kitu kama hicho boss.

Mimi pia kuna watu nawish kuonana nao,,si kwa nia mbaya au kufanya mambo mabaya..
Natamani tu nionane nao tuongee basi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38]Abee mkuu
Hakuna kitu kama hicho boss.

Mimi pia kuna watu nawish kuonana nao,,si kwa nia mbaya au kufanya mambo mabaya..
Natamani tu nionane nao tuongee basi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwani kumtamani mtu ni nia mbaya, tamaa tumeumbiwa jamani, halafu inaonekana BUSH BIN LADEN amekwazika maana ameishia kujibu "Aisee", Yaani anaona kama nataka kumharibia kwa Anne wake anaempenda.
 
Nadhani hilo si lengo la kutamani kukutana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza soma post yake vizuri, anataka mkutane sehemu iliyotulia mkiwa wawili tu, wewe unadhanj ana malengo gani huyu, halafu kwanza msituzuge, jinsia tofauti wanaotamani kuonana wana mpango wa kupigana miti tu, hata kama mtazuga eti mnafundishana kufuga kuku..
 
Back
Top Bottom