BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Mambo mengine inabidi ucheke tu japo magumu. Sawa mkuu hongera kwa kuwa na uwezo wa kuona yaliyo ndani ya vichwa vya watu.Kwanza soma post yake vizuri, anataka mkutane sehemu iliyotulia mkiwa wawili tu, wewe unadhanj ana malengo gani huyu, halafu kwanza msituzuge, jinsia tofauti wanaotamani kuonana wana mpango wa kupigana miti tu, hata kama mtazuga eti mnafundishana kufuga kuku..