Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wala hawezi kukwazika na wala haujamharibia chochoteSasa kwani kumtamani mtu ni nia mbaya, tamaa tumeumbiwa jamani, halafu inaonekana BUSH BIN LADEN amekwazika maana ameishia kujibu "Aisee", Yaani anaona kama nataka kumharibia kwa Anne wake anaempenda.
Huo ni mtazamo wako mkuu.Kwanza soma post yake vizuri, anataka mkutane sehemu iliyotulia mkiwa wawili tu, wewe unadhanj ana malengo gani huyu, halafu kwanza msituzuge, jinsia tofauti wanaotamani kuonana wana mpango wa kupigana miti tu, hata kama mtazuga eti mnafundishana kufuga kuku..
π€Sawa mkuu tukutane VIP B kijiweni pale
waooh
best upo nimekuukumbuka sanaTuonane
nipo around [emoji2960]mkitaka leo mmuonane na wanajf njjooni kwenye hafla ya jf ya kuwakabidhi ushindi washindi wa story of change ndo mtawaona wengi
HHAHHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA kumbe wewe ndo wadau umeshinda nini?nipo around [emoji2960]
Hahahhaha
He he ushemeji unajua haukufagi eenh
hahahahahah inafanyika wapimkitaka leo mmuonane na wanajf njjooni kwenye hafla ya jf ya kuwakabidhi ushindi washindi wa story of change ndo mtawaona wengi
najua ndugu yangu basi tu najikoga tu hapa labda wapigie simu hiyo kwenye thread yaohahahahahah inafanyika wapi
ππππππsema watajulikana tunajua ndugu yangu basi tu najikoga tu hapa labda wapigie simu hiyo kwenye thread yao
Unadumu milele na milele hahahHe he ushemeji unajua haukufagi eenh
Ewaaah shem shem
Ama kwa hakika
Dah hii dunia ngum sana.Huwa unamtamani kumpiga paipu halafu unasingizia kujifunza mengi, acha hizo bush bwana laden..
Tuombe uzima. One day yes..OMG[emoji847]I'm humbled [emoji120][emoji120]
You're my admirer.
Tuombe uzima na kibali,tutaonana TU!
Hata kama siyo hapa duniani basi ni Mbinguni.
Utamuona Anne na kuongea naye.
Upo mkoa gani??
Karibu sana Mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app