Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Nawakaribisha wana JF kwenye harusi yangu tarehe 18 mwezi 11 sherehe itafanyika Jijini Dar na hakutakuwa na michango karibuni nawapenda mno
Asante mkuu Mungu akutangulie kwenye maisha ya ndoa
 
Back
Top Bottom