Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

@audacious unasalimiwa na ndugu yangu.
Yani napenda vibaya kabisa japo siaminikagi naonekana jambazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hahahhaa kama namuona atakavyocheka
Bwana weeh maisha ndio hayahaya acha tupende tu hakuna namna [emoji1787][emoji1787]yakiisha yameisha
 
Back
Top Bottom