Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Yeah! Embu mwana J.f toa maoni yako,ungepewa nafasi moja ungetamani kumwona nani hapa.....Mimi jamani,Huyu miss natafuta-Namtafuta km jina lake.

Nimepitia michango mingi, wataja na watajwa wengi wao hawakutoa sababu. Wachache waliotoa sababu ni uchangiaji wa mada, hisia na taswira za hali zao kimaumbile, kiuchumi, kielimu, NK.

Mimi nashindwa kumtaja yeyote humu kwa sababu hukutoa vigezo. Ila ningependa siyo tu kumwona huyo, ila kuwatambua wote, kama ilivyo mitandao mingine ya Kijamii.

Huu uwanja ubaki wa wajanja tu, kama wewe na mimi. Kutwa ni kupigana vijembe tu, nyuma ya ID na Avatar siri wala bila CV au picha halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…