Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Miss Chaga hebu tuambie siri ya wewe kupendwa hivyo? Mbona karibu kila mtu Miss Chaga, Miss Chaga?
 
inaonekana katika mlio-post so far majority mnatamani kujiona wenyewe.

multiples!!

know' me?
 
Yaan bora tubaki kujuana hivi.ila tukija kuonana kiuasilia haki ya mungu.tutakimbiana.
 
Miss Chaga hebu tuambie siri ya wewe kupendwa hivyo? Mbona karibu kila mtu Miss Chaga, Miss Chaga?
Mtamu[emoji39] [emoji39] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hutokaa umwone tena hance maisha yako yote yaliyobaki hapa duniani!! Id yake iliunganishwa na kuwa I'd moja !!! hance mtanashati=brigedi mafia
[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Hutokaa umwone tena hance maisha yako yote yaliyobaki hapa duniani!! Id yake iliunganishwa na kuwa I'd moja !!! hance mtanashati=brigedi mafia
Brigedia mafia sidhani kama ndo hance mtanashati nikiangalia mwandiko wao na misimamo yao ni tofauti kabisa.
*muda wa ban ukiisha unaachiwa huru uingie uraiani, namkubali sana hance mtanashati kwenye jukwaa la celebrities namfananisha na Iceman 3D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…