Hivo mkuu, na ufupi unachangia๐ ๐๐๐, shida nini mkuu, unalipiza kisasi?
shauri yake๐๐, Dah hawezi kujinyonga kweli, kuwa makini mkuu
Nakubali, mamb yanaendaje hukoaaah hapana mkuu... mi kila siku ni sikukuu ๐คฃ mambo yanakuwa mengi.
Huku ni mukidee fulu shangwe vp pande hiyoNakubali, mamb yanaendaje huko
No timeNi mbaya sana hii, mpange taratibu taratibu,
Huku unyama sana.Huku ni mukidee fulu shangwe vp pande hiyo
๐ ๐ ilitakiwa asitoboe mwaka mkuu๐ ๐ au unataka final match๐Namtafutia kisa nimuache, mwezi wa pili hatoboi
Pamoja sanaHuku unyama sana.
Kabisaa mkuuu๐ ๐ hataboi January huyu๐๐, Aise ni hatari sana, unaogopa kung'atwa?
Zaidi ya upendo kuna kingine kikubwa zaidi ya hicho?Tayari January inakaribia, Unampa nini rafiki yako wa kike, mwezi huu wa kwanza ili ajisikie kuwa anachumbiana na mtu anayempenda, na pia ajisikie muhimu na maalum kwako, utampa nini.? Ni pesa taslimu au zawadi.?
View attachment 2855298View attachment 2855300