Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa NI mgeni Kwa soka la Africa hasahasa Kwa janjajanja zinazoonyeshwa na waarabu pindi wakicheza ugenini....huwa wanacheza kawaida Tu Ila ukienda kwao ndo utaona Moto wao halisi...Mnajitahidi kuipaisha hiyo timu! Lakini wadau wa michezo tuliona uwezo wao kwenye mechi ya awali. Timu ya aina ile ndiyo ya kuifunga Yanga kweli! Labda hao Yanga wauze mechi.
Yaani wachezaji walikuwa wanajiangusha angusha ili kupoteza muda! Ndiyo wawe ma maajabu nyumbani kwao.
Al ahly huwa hajiangushiWe utakuwa NI mgeni Kwa soka la Africa hasahasa Kwa janjajanja zinazoonyeshwa na waarabu pindi wakicheza ugenini....huwa wanacheza kawaida Tu Ila ukienda kwao ndo utaona Moto wao halisi...