Unatarajia Yanga atapigwa goli ngapi leo?

Unatarajia Yanga atapigwa goli ngapi leo?

Mnajitahidi kuipaisha hiyo timu! Lakini wadau wa michezo tuliona uwezo wao kwenye mechi ya awali. Timu ya aina ile ndiyo ya kuifunga Yanga kweli! Labda hao Yanga wauze mechi.

Yaani wachezaji walikuwa wanajiangusha angusha ili kupoteza muda! Ndiyo wawe ma maajabu nyumbani kwao.
We utakuwa NI mgeni Kwa soka la Africa hasahasa Kwa janjajanja zinazoonyeshwa na waarabu pindi wakicheza ugenini....huwa wanacheza kawaida Tu Ila ukienda kwao ndo utaona Moto wao halisi...
 
We utakuwa NI mgeni Kwa soka la Africa hasahasa Kwa janjajanja zinazoonyeshwa na waarabu pindi wakicheza ugenini....huwa wanacheza kawaida Tu Ila ukienda kwao ndo utaona Moto wao halisi...
Al ahly huwa hajiangushi
 
Back
Top Bottom