[emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] jamaa kaona mbona zake hu like kaona na yeye achukue ya kwakeHahahaaaa
Alitegemea na ww umpe....sasa akiona umeuchuna(najua ww bahili wa likes) ndo anarudi kufuta like yake yaani Kuunlike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Inabidi waweke namna ukilike tu haiunlikeke!, sijui hata nimeandika nini!π‘
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Inabidi waweke namna ukilike tu haiunlikeke!, sijui hata nimeandika nini!π‘
Huu mchezo,hauhitaji hasiraaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtu unampa 'Like' kwenye bandiko flani halafu baada ya muda unarudi tena una 'Unlike'.
What's up with that? I mean..what's the point?
Unaona ukilipa 'Like' limtu kama Li Nyani Ngabu litafaidi sana au litajidai sana na ndo maana unarudi na ku 'Unlike'?
That is some sucker shit right there.
Kama vipi si uache tu ku Like posts za li Nyani Ngabu.
Up yours.
Ee, hata hiyo nliyokupa ntaichukua baadae, kuna lijamaa langu nalisubiri likija ntaichukua nimpelekee, hiyo ni reserved hapo!Una like hakafu baadae unakuja kuihamisha haha dah
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]nimeamini binadamu akizeeka akili hurudi kuwa ya kitoto
Nawasiwasi unakuja kuihamishia kwa Miss NatafutaEe, hata hiyo nliyokupa ntaichukua baadae, kuna lijamaa langu nalisubiri likija ntaichukua nimpelekee, hiyo ni reserved hapo!
Ivi manyani ngabu, c yale manyani yanayoonanga kundule? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mtu unampa 'Like' kwenye bandiko flani halafu baada ya muda unarudi tena una 'Unlike'.
What's up with that? I mean..what's the point?
Unaona ukilipa 'Like' limtu kama Li Nyani Ngabu litafaidi sana au litajidai sana na ndo maana unarudi na ku 'Unlike'?
That is some sucker shit right there.
Kama vipi si uache tu ku Like posts za li Nyani Ngabu.
Up yours.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekupa like, baadae ntaichukua! Hapo nimeihifadhi tu ..
Kuna mahali ntaipeleka baadae!!
Unatoa 'Like' halafu unajistukia...unasema oops....nimetoa 'Like' kwa Li Nyani Ngabu.
Ngona nikaiondoe fasta...maana litazidi kujidai....kwanza silipendi kama nini....lishetani likubwa.
ππππππππππ
Unajua hiyo inaweza kutokea pale mtu anapofungua thread papu!! na akakutana na repliy yako iliyomfurahisha akaona inastahili kupewa "LIKE" na kweli akakupa hiyo "LIKE"Mtu unampa 'Like' kwenye bandiko flani halafu baada ya muda unarudi tena una 'Unlike'.
What's up with that? I mean..what's the point?
Unaona ukilipa 'Like' limtu kama Li Nyani Ngabu litafaidi sana au litajidai sana na ndo maana unarudi na ku 'Unlike'?
That is some sucker shit right there.
Kama vipi si uache tu ku Like posts za li Nyani Ngabu.
Up yours.