Unatoa 'Like' halafu baadaye una 'Unlike'

Unatoa 'Like' halafu baadaye una 'Unlike'

Hahahaaaa
Alitegemea na ww umpe....sasa akiona umeuchuna(najua ww bahili wa likes) ndo anarudi kufuta like yake yaani Kuunlike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] jamaa kaona mbona zake hu like kaona na yeye achukue ya kwake
 
Mtu unampa 'Like' kwenye bandiko flani halafu baada ya muda unarudi tena una 'Unlike'.

What's up with that? I mean..what's the point?

Unaona ukilipa 'Like' limtu kama Li Nyani Ngabu litafaidi sana au litajidai sana na ndo maana unarudi na ku 'Unlike'?

That is some sucker shit right there.

Kama vipi si uache tu ku Like posts za li Nyani Ngabu.

Up yours.
Huu mchezo,hauhitaji hasiraaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
nimeamini binadamu akizeeka akili hurudi kuwa ya kitoto
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Hata sasa nimekupa like but sooner or later I'm coming to take it out! Its funny and enjoyable!
 
Mtu unampa 'Like' kwenye bandiko flani halafu baada ya muda unarudi tena una 'Unlike'.

What's up with that? I mean..what's the point?

Unaona ukilipa 'Like' limtu kama Li Nyani Ngabu litafaidi sana au litajidai sana na ndo maana unarudi na ku 'Unlike'?

That is some sucker shit right there.

Kama vipi si uache tu ku Like posts za li Nyani Ngabu.

Up yours.
Ivi manyani ngabu, c yale manyani yanayoonanga kundule? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Alivyosoma mada aliipenda na ku "like" tatizo likaja aliposoma jina la mleta mada akaona kumbe "Nyani Babu" wakati yeye tumbili.[emoji14] [emoji12]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mwingine ni bahati mbaya tu hasa kwa wanaoyumia simu za tachi ktk kupandisha au kushusha anajikuta kalike hivyo inabidi ku unlike ikipita kama nusu sasa ndio anakuja ku unlike hayo makusudi sasa
 
Unatoa 'Like' halafu unajistukia...unasema oops....nimetoa 'Like' kwa Li Nyani Ngabu.

Ngona nikaiondoe fasta...maana litazidi kujidai....kwanza silipendi kama nini....lishetani likubwa.

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

😀😀dah nimecheka...
 
Mtu unampa 'Like' kwenye bandiko flani halafu baada ya muda unarudi tena una 'Unlike'.

What's up with that? I mean..what's the point?

Unaona ukilipa 'Like' limtu kama Li Nyani Ngabu litafaidi sana au litajidai sana na ndo maana unarudi na ku 'Unlike'?

That is some sucker shit right there.

Kama vipi si uache tu ku Like posts za li Nyani Ngabu.

Up yours.
Unajua hiyo inaweza kutokea pale mtu anapofungua thread papu!! na akakutana na repliy yako iliyomfurahisha akaona inastahili kupewa "LIKE" na kweli akakupa hiyo "LIKE"

Sasa anavyoendelea kufungua pages mara anakutana na reply yako nyingine ambayo imejaa maudhi na ukakasi kwa mtazamo wake, basi anaona hata ile "LIKE" aliyokupa kwenye reply yako ya awali haustahili kuendelea kuwa nayo tena.

Lakini mimi nikishatoaga kitu nimetoa sinaga kujishauri tena kwa nilichokitoa
 
Back
Top Bottom