Kwa hii comment lazima upate like adimu kutoka kwa ngabuNyani Ngabu usihangaike na wajingawajinga. Intellectuals tunakuelewa kweli kweli
Kwa hii comment lazima upate like adimu kutoka kwa ngabu
Mtu unampa 'Like' kwenye bandiko flani halafu baada ya muda unarudi tena una 'Unlike'.
What's up with that? I mean..what's the point?
Unaona ukilipa 'Like' limtu kama Li Nyani Ngabu litafaidi sana au litajidai sana na ndo maana unarudi na ku 'Unlike'?
That is some sucker shit right there.
Kama vipi si uache tu ku Like posts za li Nyani Ngabu.
Up yours.
ha ha ha kumbe ndio mnavyofanyaHamna ujue saa nyingine una mpa mtu like baadaye uki fikiria sana ulicho mpia like hukioni yana kuja maamuzi una tengua utoaji wa like yako .
Kuna mtu nilimpa like alipiga bonge ya point akaja mwingine aka mpinga kwa facts , aah ikabidi nitengue utoaji wa like na nika mpa huyu mwingine. mambo hutokea hayo
HahahTeh teh....umejuaje?
ha ha ha Ngabu pole
[emoji13] [emoji13]Inabidi waweke namna ukilike tu haiunlikeke!, sijui hata nimeandika nini!π‘
Nyani Ngabu namjua namjuaShualina....napenda ulivokaa hapo kwa avatarπ
Nakupenda Shualina..Shualina...Shualina
Hata kama hela sina, hela sina, hela sinaaaa
[emoji12] [emoji12]Hata sasa nimekupa like but sooner or later I'm coming to take it out! Its funny and enjoyable!
[emoji12] [emoji12]Anaweka reserves baadaye anahamishia kwa Miss chagga au atoto
[emoji23] [emoji23]Nimekupa like, baadae ntaichukua! Hapo nimeihifadhi tu ..
Kuna mahali ntaipeleka baadae!!
hahaha πNilisha-like nilipoanza kusoma, ila baada ya kuona neno shit kwenye sentensi hiyo ya kibepari nika-unlaikua.
[emoji12] [emoji12]
tihh tihh tihh tihh tihh
Nami nimekupa like halaf nikaitoaaa
Si hata hapa nimejiqoute yaan najijibu mwenyeweNyambaaf...sasa wewe unaanzisha mada halafu unakuja kujipa like mwenywe.
Lione kwanza.
Si hata hapa nimejiqoute yaan najijibu mwenyewe
Mwehu weweeee,,,,,sura nzito kama uji wa muhogo,libholo lyako lisookuuuNgoja nijitukane basi...mburukenge wewe.
Lione kwanza...Linyalukolo halafu linajifana Lisukumaπ.