Unatoa 'Like' halafu baadaye una 'Unlike'

Unatoa 'Like' halafu baadaye una 'Unlike'

Mtu unampa 'Like' kwenye bandiko flani halafu baada ya muda unarudi tena una 'Unlike'.

What's up with that? I mean..what's the point?

Unaona ukilipa 'Like' limtu kama Li Nyani Ngabu litafaidi sana au litajidai sana na ndo maana unarudi na ku 'Unlike'?

That is some sucker shit right there.

Kama vipi si uache tu ku Like posts za li Nyani Ngabu.

Up yours.

Nilisha-like nilipoanza kusoma, ila baada ya kuona neno shit kwenye sentensi hiyo ya kibepari nika-unlaikua.
 
Hamna ujue saa nyingine una mpa mtu like baadaye uki fikiria sana ulicho mpia like hukioni yana kuja maamuzi una tengua utoaji wa like yako .
Kuna mtu nilimpa like alipiga bonge ya point akaja mwingine aka mpinga kwa facts , aah ikabidi nitengue utoaji wa like na nika mpa huyu mwingine. mambo hutokea hayo
ha ha ha kumbe ndio mnavyofanya
 
Back
Top Bottom