Unatoa wapi ujasiri wa Kuomba mtu kiasi Cha shilingi 100,000

mshimboka

Member
Joined
Jun 13, 2026
Posts
64
Reaction score
131
Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx

Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi anavyoifanya na faida anayoipata na mtaji kiasi gani anao endeshea biashara yake

Nikamuuliza shida anayokutana nayo katika biashara yake na kiasi gani ambacho anahitaji kwa sasa kuendeleza biashara yake ila pesa aliyoniambia anahitaji laki 1 tu

Aisee nilishtuka sana kuona watu wanaendesha maisha kwa pesa ndogo kiasi hiki basi mi nikampatia kiasi Cha milioni 1 wallahi mama wa watu kanambia nimuoe Binti yake Bure

Kumbe watu huko uswahilini Wana maisha magum balaa Yani laki 1 ndo mtaji na mtu ana watoto wa nne aisee so poa
 
Haichekeshi.
 
Hebu tuone hio picha ya LC300 ZX...
 
downloadfile.gif
 
Unaiga pigo za BILIONEA LUGANO aka KIDUKU LILO Bill Lugano kuna dogo anaiga maisha yako
 
Back
Top Bottom