Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Naona umepata shirika la misaada 😎Ww kama hutak kumsaidia huyo binti sema tuu
Naona umepata shirika la misaada 😎Ww kama hutak kumsaidia huyo binti sema tuu
🤝Mimi sijawahi kumdharau mtu mkuu tafadhali usiniweke kwenye hilo kundi
Yani daddy mimi sura yangu ukiiona copyright na ya kwako!😍sidhani kama kuna binti 'pisikali' humu... sura za baba nadhani zimejazana
Labda sio walokole ninao wjua mm ambazo ukiwaeleza shida zako wanakufanyia maombi tWalokole tuko vzr njoo kanisani kwetu unasimama pale mbele unajitambulisha vzr halafu unasema shida yako tunakuchangia tu😎
Mbon kama mchungaji anafanya karate
Hivi jumatatu ndio shule zinafunguliwa eeh ?Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx
Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi anavyoifanya na faida anayoipata na mtaji kiasi gani anao endeshea biashara yake
Nikamuuliza shida anayokutana nayo katika biashara yake na kiasi gani ambacho anahitaji kwa sasa kuendeleza biashara yake ila pesa aliyoniambia anahitaji laki 1 tu
Aisee nilishtuka sana kuona watu wanaendesha maisha kwa pesa ndogo kiasi hiki basi mi nikampatia kiasi Cha milioni 1 wallahi mama wa watu kanambia nimuoe Binti yake Bure
Kumbe watu huko uswahilini Wana maisha magum balaa Yani laki 1 ndo mtaji na mtu ana watoto wa nne aisee so poa
We umeenda kusiko, huku wanagwa hela usipime!🙌🏾Labda sio walokole ninao wjua mm ambazo ukiwaeleza shida zako wanakufanyia maombi t
umeniudhiYani daddy mimi sura yangu ukiiona copyright na ya kwako!😍
Lakini ndio ukweli, kosa langu nini hapo?umeniudhi
Walokole awa awa ambazo mchungaji akiwa anajenga waumini wanachanga michango kwa ajir ya ujenz wa mchungaji na kama kanisan Kuna mafundi wanamsaidia kujengaWe umeenda kusiko, huku wanagwa hela usipime!🙌🏾
Dahh mkuu umeongea kwa uchungu sana! Ndio hawa hawa.. ila maana mmeigeuza tofauti tu! kumuwezesha mtumishi wa Mungu sio tatizo, atawaletea chakula cha kiroho huku akiwa hana hata pa kukaa? Inakuwa sio sahihi!Walokole awa awa ambazo mchungaji akiwa anajenga waumini wanachanga michango kwa ajir ya ujenz wa mchungaji na kama kanisan Kuna mafundi wanamsaidia kujenga
ila kama Kuna muhumini anajenga hachangiwi hats mia mbov labda tu afanyiwe maombi ili ujenzi wake uishe salama
Yan kanisan Kuna onyonya sana ila watu wanaamin kua watalipwa na munguDahh mkuu umeongea kwa uchungu sana! Ndio hawa hawa.. ila maana mmeigeuza tofauti tu! kumuwezesha mtumishi wa Mungu sio tatizo, atawaletea chakula cha kiroho huku akiwa hana hata pa kukaa? Inakuwa sio sahihi!
Dahh sina neno mkuu! Ukweli anaujua Mungu mwenyewe!Yan kanisan Kuna onyonya sana ila watu wanaamin kua watalipwa na mungu
Aaaah sahii mkuuDahh sina neno mkuu! Ukweli anaujua Mungu mwenyewe!