Haichekeshi.Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx
Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi anavyoifanya na faida anayoipata na mtaji kiasi gani anao endeshea biashara yake
Nikamuuliza shida anayokutana nayo katika biashara yake na kiasi gani ambacho anahitaji kwa sasa kuendeleza biashara yake ila pesa aliyoniambia anahitaji laki 1 tu
Aisee nilishtuka sana kuona watu wanaendesha maisha kwa pesa ndogo kiasi hiki basi mi nikampatia kiasi Cha milioni 1 wallahi mama wa watu kanambia nimuoe Binti yake Bure
Kumbe watu huko uswahilini Wana maisha magum balaa Yani laki 1 ndo mtaji na mtu ana watoto wa nne aisee so poa
Tumevamiwa humu jamani hivi mkuu shule hazijafunguliwa hawa vijana warudi mashuleniHii gia uliyoingia nayo humu ni nyepesi mnoo!, mabinti wa humu wanajitambua!
Gia ya hivi ungeingia nayo kule tiktok ama insta...ungepata mabinti wengi! Na nyongeza unapewa bure!...
Elewa maana "nyongeza"
Hebu tuone hio picha ya LC300 ZX...Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx
Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi anavyoifanya na faida anayoipata na mtaji kiasi gani anao endeshea biashara yake
Nikamuuliza shida anayokutana nayo katika biashara yake na kiasi gani ambacho anahitaji kwa sasa kuendeleza biashara yake ila pesa aliyoniambia anahitaji laki 1 tu
Aisee nilishtuka sana kuona watu wanaendesha maisha kwa pesa ndogo kiasi hiki basi mi nikampatia kiasi Cha milioni 1 wallahi mama wa watu kanambia nimuoe Binti yake Bure
Kumbe watu huko uswahilini Wana maisha magum balaa Yani laki 1 ndo mtaji na mtu ana watoto wa nne aisee so poa
Yaani,bonge la mshamba😁Hii gia uliyoingia nayo humu ni nyepesi mnoo!, mabinti wa humu wanajitambua!
Gia ya hivi ungeingia nayo kule tiktok ama insta...ungepata mabinti wengi! Na nyongeza unapewa bure!...
Elewa maana "nyongeza"
Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx
Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi anavyoifanya na faida anayoipata na mtaji kiasi gani anao endeshea biashara yake
Nikamuuliza shida anayokutana nayo katika biashara yake na kiasi gani ambacho anahitaji kwa sasa kuendeleza biashara yake ila pesa aliyoniambia anahitaji laki 1 tu
Aisee nilishtuka sana kuona watu wanaendesha maisha kwa pesa ndogo kiasi hiki basi mi nikampatia kiasi Cha milioni 1 wallahi mama wa watu kanambia nimuoe Binti yake Bure
Kumbe watu huko uswahilini Wana maisha magum balaa Yani laki 1 ndo mtaji na mtu ana watoto wa nne aisee so poa
Hawa wa kwenda chuo vya kati.Tumevamiwa humu jamani hivi mkuu shule hazijafunguliwa hawa vijana warudi mashuleni
Ngoja nami nimpige vizinga.
Nami sina gari, ila nina punda wangu wa kwenda naye shambani.Humu mm tu ndo sina gari na sina nyumba
"uhaya ni mbaya sana"
Na huyo punda ndo anakupeleka kupga nyetoo?Nami sina gari, ila nina punda wangu wa kwenda naye shambani.
Inshaallah!