Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
YOU BERA WOCHI YUA BACKLeo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx
Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi anavyoifanya na faida anayoipata na mtaji kiasi gani anao endeshea biashara yake
Nikamuuliza shida anayokutana nayo katika biashara yake na kiasi gani ambacho anahitaji kwa sasa kuendeleza biashara yake ila pesa aliyoniambia anahitaji laki 1 tu
Aisee nilishtuka sana kuona watu wanaendesha maisha kwa pesa ndogo kiasi hiki basi mi nikampatia kiasi Cha milioni 1 wallahi mama wa watu kanambia nimuoe Binti yake Bure
Kumbe watu huko uswahilini Wana maisha magum balaa Yani laki 1 ndo mtaji na mtu ana watoto wa nne aisee so poa
Oya mkuu inakuajeHaya kama umegoma kunisaidia. Nilidhani walokole wana roho nzuri kumbe...
We makota koyaπ
Walokole tuko vzr njoo kanisani kwetu unasimama pale mbele unajitambulisha vzr halafu unasema shida yako tunakuchangia tuπHaya kama umegoma kunisaidia. Nilidhani walokole wana roho nzuri kumbe...
Astakafirilah πNasemaje sina mia mbovu mbaga ni tapeli tu kama kina venchwaπ₯΄
Humu tuu π₯We makota koyaπ
Acha kuzua taharuki mbaga!
Mambo ni faya bin fayaaa π₯ Kwema?Oya mkuu inakuaje
Nikikulipa niite dog πNa hapo umeomba mkopo nyoko zako!
Safi safi kuna jipya gani huku!?Mambo ni faya bin fayaaa π₯ Kwema?
Nyie mnatabia ya kuwasaidia wale tu wanaoanguka wakiwa wanaombewa. Sasa Mimi huwa ni kisiki cha mpingo, hata mniombee vipi wala sitaanguka π.Walokole tuko vzr njoo kanisani kwetu unasimama pale mbele unajitambulisha vzr halafu unasema shida yako tunakuchangia tuπ
Huku hakuna jipya zaidi ya kuwafukuzia mademu wenye makebo makubwa. Akina Seran.Safi safi kuna jipya gani huku!?
Humu tuu π₯Transactional love relationship
Ohooooo!!!Huku hakuna jipya zaidi ya kuwafukuzia mademu wenye makebo makubwa. Akina Seran.
Karibu sana π₯Ohooooo!!!
Sawa sawa kazi njema sana!π₯π
Ngoja nione posts zingine chap chap
Nakuloga dog wewe!Nikikulipa niite dog π
Usijali mkuu tutakukata mtama!πNyie mnatabia ya kuwasaidia wale tu wanaoanguka wakiwa wanaombewa. Sasa Mimi huwa ni kisiki cha mpingo, hata mniombee vipi wala sitaanguka π.
Oyaa, Mimi nina umbo kama na Pawa Mabula, ohoooo!Usijali mkuu tutakukata mtama!π
Kivipi yaani π€Ungejua viko kama ubuyuππΎ
Tangu uanze kutetea ccm hujapewa hata PASO kweli wewe zombi... jiongezeHumu mm tu ndo sina gari na sina nyumba
"uhaya ni mbaya sana"