Unatoa wapi ujasiri wa Kuomba mtu kiasi Cha shilingi 100,000

Mtaji wa 100,000 unaweza kukupa kuanzia 10k hadi 20k kila siku na kwa mwezi zaidi 300,000 na akaishi vizuri tu.

Zipo biashara zinazohitaji mtaji mdogo na zinaendesha familia vizuri. Jambo la msingi usijiangalie wewe ni nani.
 
Nje ya mada. Napenda kutuma salamu kwa ndugu zangu wote waliopo Sakina "Arusha" naomba waburudike na kibao cha 20 Percent "TAMAA MBAYA"
 
Chai ☕️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…