Ubarikiwe sanaLeo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx
Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi anavyoifanya na faida anayoipata na mtaji kiasi gani anao endeshea biashara yake
Nikamuuliza shida anayokutana nayo katika biashara yake na kiasi gani ambacho anahitaji kwa sasa kuendeleza biashara yake ila pesa aliyoniambia anahitaji laki 1 tu
Aisee nilishtuka sana kuona watu wanaendesha maisha kwa pesa ndogo kiasi hiki basi mi nikampatia kiasi Cha milioni 1 wallahi mama wa watu kanambia nimuoe Binti yake Bure
Kumbe watu huko uswahilini Wana maisha magum balaa Yani laki 1 ndo mtaji na mtu ana watoto wa nne aisee so poa
Usipoanguka hadi ngumi utapigwa..Kama mieleka😂
We sema tu hivyo. Hawa wanawake hawaeleweki...Demu wangu tuu Hawez kuwa na akili hizo sembuse mke 😂
Aisee, huyo mama kapigwa ngumi hadi ikabidi ageukie upande mwingine kujinusuru na alitaka akimbie ukitizama vizuri...Hii video akiiona Mbaga Jr lazima atoke nduki huko ukafirini, maana mkewe atapigwa tumboni hadi mimba imchoropoke.
Duh hawa matapeli fujo yingi mno unatoka hapo mwili umevimba ubongo haufanyi kazi 😆Usipoanguka hadi ngumi utapigwa..
Na bado....mi nilitaka auawe kabisa. Iweje uende Kwa mtu uchwara eti akuombee?Aisee, huyo mama kapigwa ngumi hadi ikabidi ageukie upande mwingine kujinusuru na alitaka akimbie ukitizama vizuri...
Mwishoni hapo anajishika tumbo akiugulia maumivu ya tumbo baada ya kupigwa ngumi.. wenzake wanajua ni pepo.. kumbe mtu tumbo linamuuma...
Na bado....mi nilitaka auawe kabisa. Iweje uende Kwa mtu uchwara eti akuombee?
ChaiHaichekeshi.
Kwasababu ni chawa uchwara lililokubuhu la abduliHumu mm tu ndo sina gari na sina nyumba
"uhaya ni mbaya sana"
Niamini mmWe sema tu hivyo. Hawa wanawake hawaeleweki...
Msukuma wa pori gani wewe?Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx
Basi nikashuka kwenye gari nikakatuna na mama muuza dagaa nikamsalimia na kuanza kuongea nae na kumuuliza biashara yake jinsi anavyoifanya na faida anayoipata na mtaji kiasi gani anao endeshea biashara yake
Nikamuuliza shida anayokutana nayo katika biashara yake na kiasi gani ambacho anahitaji kwa sasa kuendeleza biashara yake ila pesa aliyoniambia anahitaji laki 1 tu
Aisee nilishtuka sana kuona watu wanaendesha maisha kwa pesa ndogo kiasi hiki basi mi nikampatia kiasi Cha milioni 1 wallahi mama wa watu kanambia nimuoe Binti yake Bure
Kumbe watu huko uswahilini Wana maisha magum balaa Yani laki 1 ndo mtaji na mtu ana watoto wa nne aisee so poa
quid pro quoHumu tuu 🔥
Yeye kaandika lc 300 zx mkuu sio LC..Hebu tuone hio picha ya LC300 ZX...
Jobless wapi wakati namuonaga kule analilia mshahara tar 20Jamani huyo kijana muongo anajua kabisa mimi jobless mwenzie na tunashnda wote jf 24/7
Ni vibarua tu kuna muda vinamgomea! 😆Jobless wapi wakati namuonaga kule analilia mshahara tar 20