Unatoa wapi ujasiri wa Kuomba mtu kiasi Cha shilingi 100,000


Andika yenyewe sasa,jilani,sio jilani ni jirani.Hebu soma tena ulichoandika na uniambie,nini hasa madhumuni ya bandiko lako
 

Itabidi uishukuru Serikali ya CCM ya Awamu ya Sita kwa kumuwezesha kupata Binti wa Kuoa Bure. Anaupiga mwingi

CCM OYEEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…