Unatoa wapi ujasiri wa Kuomba mtu kiasi Cha shilingi 100,000

sidhani kama kuna binti 'pisikali' humu... sura za baba nadhani zimejazana
 
sidhani kama kuna binti 'pisikali' humu... sura za baba nadhani zimejazana
 
Walokole tuko vzr njoo kanisani kwetu unasimama pale mbele unajitambulisha vzr halafu unasema shida yako tunakuchangia tu😎
Labda sio walokole ninao wjua mm ambazo ukiwaeleza shida zako wanakufanyia maombi t
 
Hivi jumatatu ndio shule zinafunguliwa eeh ?
 
We umeenda kusiko, huku wanagwa hela usipime!πŸ™ŒπŸΎ
Walokole awa awa ambazo mchungaji akiwa anajenga waumini wanachanga michango kwa ajir ya ujenz wa mchungaji na kama kanisan Kuna mafundi wanamsaidia kujenga
ila kama Kuna muhumini anajenga hachangiwi hata mia mbov labda tu afanyiwe maombi ili ujenzi wake uishe salama
 
Dahh mkuu umeongea kwa uchungu sana! Ndio hawa hawa.. ila maana mmeigeuza tofauti tu! kumuwezesha mtumishi wa Mungu sio tatizo, atawaletea chakula cha kiroho huku akiwa hana hata pa kukaa? Inakuwa sio sahihi!
 
Yan kanisan Kuna onyonya sana ila watu wanaamin kua watalipwa na mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…