Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Hio dawa kuhusu ngozi, nisaidie inatibu matatizo gani ya ngozi. Ndugu yangu ana tatizo la ngozi.

Mpaka sasa tumeona kuwa inatibu, chunusi, vipele, mba, ukurutu, muwasho, vidonda, moto (mtu akiunguwa), mapunye, fangasi za miguuni, vidoleni na sehemu zingine.

Ni tiba pekee iliyoonesha mafanikio makubwa sana na ya haraka sana katika kutibu ngozi ya wale waliounguwa kwa kemikali za kubadilisha rangi ya ngozi.

Mpe nduguyo atumie inaweza ikamsaidia sana.
 
dada hii dawa inatoa majibu baada ya muda gani? maana hii wiki ya tano lakini sioni mabadiliko!! nahitaji nyingine kwa sasa nipo mtwara. je una wakala huky?
 
Wiki ya tano kama haujaona majibu no bora tukuridishie gharama zako.

Maana mpaka leo wewe ni mtu wa kwanza kutokuona majibu mazuri.

Nnaomba nijulishe namba zako na gharama zako ulizotumia nikuridishie. Sitaki kuchuma dhambi.
 
Huyu ni yule mwanangu nilieweka picha zake hapo mwanzoni, hii kaipiga baada ya kutumia Aunt Zainab Natural Super Clay, safari hii sina haja ya kuweka kichwa chake tu, ninamuweka mwenyewe kama alivyo:

Thabit suit.jpg

Na hii ya chini ni kabla:

tthabit_before_2.jpg
 
Attachments

  • Thabit Before 2.jpg
    Thabit Before 2.jpg
    35.1 KB · Views: 150
picha ni ya mtu mmoja ilaa position ya camera ndo imeleta utofauti wa monekano na kama inakusaidia ndo saff kabsa unanshawish na mim je ni pesa ngap inauzwa?
 
Mkebe mmoja ni 3,500
 
Wiki ya tano kama haujaona majibu no bora tukuridishie gharama zako.

Maana mpaka leo wewe ni mtu wa kwanza kutokuona majibu mazuri.

Nnaomba nijulishe namba zako na gharama zako ulizotumia nikuridishie. Sitaki kuchuma dhambi.

swala sio kurudishiwa gharama ila nataka kujua matokeo ni baada ya muda gani yataonekana? kwasasa nipo mtwara nataka mikebe mitatu baada ya ile ya awali kuisha bila mafanikio. je huku mtwara mna mawakala?
 
Majibu huonekana baada ya wiki nne tu, ndiyo maana nikasema kama ni wiki tano na haujaona chochote ni mtu wa kwanza, ndiyo maana nikasema kama hauoni mafanikio hii tiba ni "money back guarantee".

Mtwara hatuna msambazaji lakini mjaribu Gloria Machinga - 0787964640 kama bado anao atakuuzia.
 
Zainab Tamim samahnai naomba unisaidie kwenye hii tiba unatumia kwa dozi ya muda gani, au ni endelevu utakuwa unatumia tu kwa muda wote kama vile ambavyo huwezi kuoga bila kuwa na sabuni? au unatumia kipara kikipotea ndio kimoja hakirudi tena ama unakipoteza ila baada ya muda fulani kinarudia tena hivyo unaanza kujitibia upya.
 
Last edited by a moderator:

Kwa kuanzia unatumia wiki nne mpaka sita na inategemea na matokeo, wengine huota haraka wengine huchelewa.

Unatumia na ukiona sasa nywele zimestawi vya kutosha unaacha kuitumia lakini tunashauri uwe unatumia japo wiki mara moja kuzi maintain na ku balance nywele zenye afya, na hii ni hata kwa wale wasio na matatizo ya nywele, ni kama unatumia shampoo.
 
Ahsante bi mkubwa kwa maelezo, nitakuja nikijaaliwa nafasi.
 
Back
Top Bottom