Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #341
nina week sasa natumia tena bila kukosa, nangojea ifike week ya nne nitaleta majibu
Asante kwa kutumia tiba yetu mbadala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina week sasa natumia tena bila kukosa, nangojea ifike week ya nne nitaleta majibu
Asante kwa kutumia tiba yetu mbadala.
Hio dawa kuhusu ngozi, nisaidie inatibu matatizo gani ya ngozi. Ndugu yangu ana tatizo la ngozi.
dada hii dawa inatoa majibu baada ya muda gani? maana hii wiki ya tano lakini sioni mabadiliko!! nahitaji nyingine kwa sasa nipo mtwara. je una wakala huky?
Hio dawa kuhusu ngozi, nisaidie inatibu matatizo gani ya ngozi. Ndugu yangu ana tatizo la ngozi.
picha ni ya mtu mmoja ilaa position ya camera ndo imeleta utofauti wa monekano na kama inakusaidia ndo saff kabsa unanshawish na mim je ni pesa ngap inauzwa?
Wiki ya tano kama haujaona majibu no bora tukuridishie gharama zako.
Maana mpaka leo wewe ni mtu wa kwanza kutokuona majibu mazuri.
Nnaomba nijulishe namba zako na gharama zako ulizotumia nikuridishie. Sitaki kuchuma dhambi.
swala sio kurudishiwa gharama ila nataka kujua matokeo ni baada ya muda gani yataonekana? kwasasa nipo mtwara nataka mikebe mitatu baada ya ile ya awali kuisha bila mafanikio. je huku mtwara mna mawakala?
Zanzibar mko wapi Aunty
Zainab Tamim samahnai naomba unisaidie kwenye hii tiba unatumia kwa dozi ya muda gani, au ni endelevu utakuwa unatumia tu kwa muda wote kama vile ambavyo huwezi kuoga bila kuwa na sabuni? au unatumia kipara kikipotea ndio kimoja hakirudi tena ama unakipoteza ila baada ya muda fulani kinarudia tena hivyo unaanza kujitibia upya.
Kwa kuanzia unatumia wiki nne mpaka sita na inategemea na matokeo, wengine huota haraka wengine huchelewa.
Unatumia na ukiona sasa nywele zimestawi vya kutosha unaacha kuitumia lakini tunashauri uwe unatumia japo wiki mara moja kuzi maintain na ku balance nywele zenye afya, na hii ni hata kwa wale wasio na matatizo ya nywele, ni kama unatumia shampoo.
Ahsante bi mkubwa kwa maelezo, nitakuja nikijaaliwa nafasi.
Ndo nimeanza dozi ya upara leo
Ninakutakia mafanikio mema.
Piga picha ya kabla na baada.