Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #141
Tutawasiliana auntiee
Karibu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutawasiliana auntiee
Asante bibie, isiwe umentilia vidonge vya ... unajihami kabisa, maana wewe bibi hueleweki.
Asante nimeona watu wa MMU wanakusifu kwa kuweka tangazo langu kule. Nipe link nikalione.
Huyo jamaa yako kanipigia simu kabla hajaondoka Mkuranga.
Saa zingine binaadam saa zingine majinuni ras.
Eid Mubarak.
na walee wenye chunusi na makovu,na USO wenye mafuta,una sabuni au ???
We rongo sana bana hii picha mutu mbali mbali
nimependa jinsi hyu Dada zainab alivyo positive anajiamini hana hasira angekuwa MTU mwenye moyo dhaifu angeishakimbia hii thread
Ni hii hii ndiyo dawa yao:
Namna ya kuutumia ni hivyo hovyi iwe unaupaka kichwani au mwilini:
Unachukuwa hii Aunt Zainab's Natural Super Clay kiasi ya kijiko kimoja cha chakula, unachanganya na maji iwe nzito nzito kama ugali laini au uji mzito, unapaka kichwa chote wakati upo nyumbani na ukikauka unalala nao, asubuhi unakoga tu kama kawaida. Ukikauka hauchafui nguo wala mashuka ya kitanda.
Na ule uliobaki kama umeokoroga mwingi kuliko ulivyotumia unautumia tena siku ya pili hauharibiki kabisa hata ukikaa mwaka , sana sana unakauka ukiuongeza maji ukiukoroga unarudi vile vile. Ni ajabu.
Mwanangu niliyeweka picha zake hapo ndivyo alivyotumia na matokeo ni hayo baada ya wiki nne, lakini abasema baada ya siku tatu tu kaanza kuona mabadiliko.
Pitia hapa uisome kwa namna ya kutoa chunusi: https://www.jamiiforums.com/matanga...na-zaidi-aunt-zainabs-natural-super-clay.html
Bi Dada, hebu hapo andika "unaukandika" kichwani au mwilini au usoni. Maana ukisema kupaka watu watafikiri kama mafuta.
Namna hii:
![]()
Usinishobokee kwa kukuelewesha!
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Ninaomba feedback kutoka kwa watumiaji wa hii bidhaa.
Kweli udongo huu unalainisha ngozi, na pia unakomesha chunusi. Nime-prove mwenyewe. Wonderful! Niko Dodoma, naupata kwa wakala Rukia
Bei kiasi gani hiyo dawa