Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Nautafuta sana huo udongo tuujaribu maana unautangazaa sana.

nataka kuutumia kuona kama utaweza kuondoa au kupunguza vipele vya ndevu.

OMBI:
Kama kuna uwezekano ukaweka ramani ya kufika (direction) hapo sinza unapopatikana huo udongo itakua vizuri zaidi kwani tushajaribu kuja km mara mbili ukipiga simu either haipatikan au haipokelewe ama ipo bize muda mrefu si unajua wengine muda wa kuibia.
 
Mmmmh.....kwa utafiti wangu nimegundua hzo picha ni za watu wawili tena wenye umri tofauti....naanza kupata wasiwasi juu ya hili

Hahaha nimeshajibu sana hili swali, pitia nyuzi.

Hayo ndio maajabu ya huu udongo, unamuona mzee kwa kuwa ana kipara na sasa nywele zimeota. Huyo ni mtu mmoja tena ni mwanangu.

Siwezi kudanganya hata kidogo. Kama una whatssapp nipe nikutumie picha kamili, hizo nimezi crop.
 
Nautafuta sana huo udongo tuujaribu maana unautangazaa sana.

nataka kuutumia kuona kama utaweza kuondoa au kupunguza vipele vya ndevu.

OMBI:
Kama kuna uwezekano ukaweka ramani ya kufika (direction) hapo sinza unapopatikana huo udongo itakua vizuri zaidi kwani tushajaribu kuja km mara mbili ukipiga simu either haipatikan au haipokelewe ama ipo bize muda mrefu si unajua wengine muda wa kuibia.

Pole sana kwa usumbufu. Nitawaambia wanangu waniwekee "map" maana mimi sio mtaalam sana wa mambo haya ya kompyuta.

Tusamehe sana, simu nyingine za mume wangu Mzee Abdul ni hizi: 0756803528 au 0773484384 tafadhali ukikosa zile zangu piga hizo.

Samahani sana.
 
Itakua umefanya jambo la maana sana na kuwasaidia wengine pia kwa kuweka raman hata kwa maelezo ya kumfikisha mtu hapo unapopatikana au karibu na hapo ambapo mtu akiuliza anaweza elekezwa.
 
Itakua umefanya jambo la maana sana na kuwasaidia wengine pia kwa kuweka raman hata kwa maelezo ya kumfikisha mtu hapo unapopatikana au karibu na hapo ambapo mtu akiuliza anaweza elekezwa.

Sinza kwa Remmy kuna Bar maarufu moja inaitwa B Bar na moja inaitwa Miller katikati yao kuna njia inaingia ndani, unaingia na hiyo njia mpaka mwisho unakutana na njia inayotokea Lion inatengenezwa, ndio hapo hapo, kwenye kona kuna kikontena, nyumba inatazamana na hiyo kontena ina ukuta nusu haujamalizika kujengwa.

Pole sana kwa usumbufu.
 
Ndugu zangu ninaomba kuweka mambo sawa kidogo Bi dada FaizaFoxy amenirekebisha amesema nisiseme "unaupaka", huwa inawachanganya watumiaji na wanaupaka kama mafuta. Amesema niseme "unaukandika au kuusiriba". Ninakubaliana nae 100%. Jana kaja mtumiaji nyumbani kwangu na nimegundua alikuwa anaupaka kama mafuta baada ya kuukoroga na alikuwa hausiribi "thick layer".

Naomba watumiaji muukandike au muusiribe kwa maana unasiriba thick layer kama vile hinna au liwa. Na uzito mzuri ni mfano wa huu...

Put-mud-in-your-hair-natural-clay-hair-detox-for-thick-and-shiny-hair.jpg
 
Last edited by a moderator:
Watu wa Iringa, sasa mnaweza kuipata Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa Janet namba 0714757197
 
Zainab Tamim mbona hujanitag Wateja wamenipigia simu nikawakatalia kumbe inaondoa upara?
 
Last edited by a moderator:
Zainab Tamim mbona hujanitag Wateja wamenipigia simu nikawakatalia kumbe inaondoa upara?

Samahani sana, Mimi hata kutag sijui,, hebu nielekeze, tena inasaidia sana si kuondoa tu kipara, hata nywele hafifu au zinazokatika katika. Soma post namba moja.

Wapigie tu uwaambie ulikuwa hujapa habari.

Samahani sana.

Nifundishe namna ya ku tag.
 
Weka hii alama @ bila kuacha nafasi andika jina la mhusika basi.. Zainab Tamim
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Hornet unajuwa saa nyingine humu huwa mwanangu ananisaidia kwenye hii mitandao mimi siyajui mengi, ninakushukuru sana nimejifunza kitu kipya.
 
Last edited by a moderator:
Nimetumiwa ushuhuda kwa sms kwa aliyekuwa mteja akawa wakala wa Iringa sasa hivi, ninauweka kama alivyonitumia...

"Nimetumia imenisaidia sana"

"Mteja nae kaniambia anavyochana nywele zinapungua kukatika"

"Wengi wameikubali maana mteja ananiletea mteja"

Ahsante sana Janet. Tuhongeree sote.

Kwa atakaetaka maelezo zaidi anaweza kumpigia Janet namba 0714757197.
 
Mmh sasa mwenye upara natural inakuwaje nae zinaota? Na akiacha inakuwaje? Inatumia muda gani kuotesha

Mwenye upara toka kuzaliwa sina uhakika, lakini huyo mwanangu alikuwa na nywele zake na akaanza kuota upara kama babu yake ukubwani, yeye ametumia wiki nne mfululizo zimefikia kama uonavyo kwenye picha anaendelea kutumia anasema "mpaka kieleweke". Matokeo ni mazuri sana hata mimi nimeridhika nayo ndio nikayaweka hapa.

Inasaidia pia hata wenye nywele zao na zina katika katika au hazina afya. Soma post ya juu kidogo hapo Janet wa Iringa ameniletea ushuhuda.
 
Upara wa asilia hauzaliwi nao unakuja ukubwani lakn sio kwasababu ya magonjwa au fungus ni kwasababu za urithi ndio nikauliza je inafanya kazi?

Kingine nilichogundua hukutulia kufanya utafiti wa hii dawa, ulipompaka mwanao yu zikaota uka assume tayari hii itafanya mbeleni uonekane tapeli

Kila kitu kinahtaji utafiti wa kina ili usiyoe majibu kama #Sijui ulipaswa kutafuta watu tofauti tofauti # volunteers watakao prove ubora wa dawa yako katika mazingira tofauti tofauti

Kwa mfano najua nikikuuliza vipi mtu zikishaota akaacha kutumia bila shaka utasema #Hujui lakn kuna sidw effects hata za icho unaita #natural remedies. Kwa mfano vip mtu zikiota kisha akaacha ndio zikapukutika kichwa kizima?

Maana yake itabd iwe lifetime dose. Au vinginevyo

Sipingi dawa yako ila ulitakiea kuitafiti kwa kina kabla ya kuuza ili usije na majibu ya Sijui. Sasa kama wewe hujui mgonjwa atajua jamani?

Mwanao hujasema nywele zake ni inherited bald or vinginevyo ... Hii ya kuuza ukitaka feedbak kwa watu mmmh, sijui lakn utafiti kwanza iyo dawa katika mazingira yote.

BINADAMU WABAYA. Side effects zipo hata itching ikitokea ni side effect, au mwingine aweza pata mzio (allergy) kwa izo izo natural remedy. Kwani hujawai ona mtu akijipaka lets say jani la mmea wa asili anavimba?

Huu ni ushauri tu kwa mtazamo mpana
 
Hapo kuhusu asili labda ni lugha tu tumetofautiana. Tuko pamoja.

Kuhusu mwanangu. Hapana si yeye tu. Yeye nimemuweka kwa kuwa ilikuwa rahisi kunikubalia kumuonesha mitandaoni.

Ni wengi wameutumia. Hicho ni kisa kimoja tu.

Kwanini ionekane tapeli wakati nimeandika humu, kama umepitia nyuzi vizuri ungenisoma, kuwa ambae haitamsaidia ni "money back guarantee", pia kwa anaetaka kujaribu kama itamfaa anaweza kuja kwangu kuchukuwa bure ya kutumia wiki moja aone matokeo. Pia nimesema asie na uwezo wa kununua aje achukuwe hii tiba bure.

Kama kwa ofa hiyo bado utaniona tapeli. Sijui nikukinaishe vipi kuwa huu si utapeli.

Naomba uelewe kuwa hii ni home remedy ya asili na kama ni allergy basi wengine hata sukari inawadhuru na wengine hata wali unawadhuru. Mpaka leo hii sijapata malalamiko yoyote ya allergy reaction cha ajabu na kushangaza ni kuwa, hata kwa wale wenye allergy ya ngozi hii imekuwa tiba kwao.

Ushauri wako nimeupokea vizuri sana na napenda ufate hizi link uielewe hii tiba. Hii bidhaa duniani ipo inauzwa ghali sana. Sisi tumevumbua kuwa na Tanzania ipo na ndio maana unaiona tunaiuza rahisi sana.

Naomba soma hapa: https://www.jamiiforums.com/matanga...ural-unaolainisha-ngozi-sasa-unapatikana.html

Nimeuelezea kwa uchache na ukipitia hiyo nyuzi utakuta link nyingi zinazouelezea kwa kina.

Unaweza ku google "Montmorillonite Clay" ili uufahamu kwa kina.

Tumia fursa, sasa unaupata kiurahisi kabisa kwa kuwa unao wa hapahapa nyumbani, tena waliowahi kutumia wa nje na huu wetu wanakiri kabisa kuwa huu wetu ni bora zaidi.

Kuhusu hilo la kupukutika ni kinyume chake, soma juu kidogo hapo ushuhuda wa Bi Janet wa Iringa kuwa alikuwa anapukutika nywele na baada ya kutumia hii tiba yetu siku ya kwanza kaona matokeo mema. Kumbuka kuwa sijawahi kukutana na Janet, hatujuani kabisa zaidi ya kuwasiliana kwa simu tu. Na nimeweka namba yake unaweza kumuulizia kwa kuwa karidhia mwenyewe niiweke. Ukipitia hizi nyuzi zangu humu JF utaona kuwa anaeridhia ninaweka namba zake ili aweze kutoa ushuhuda moja kwa moja bila kupitia kwangu.

Kuhusu kama utautumia daima kwenye kipara hilo wala lisikustuwe na kukutia simanzi. Hakuna daktari duniani anaekupa tiba ya dawa akakupa "guarantee" kuwa hutapatwa tena maishani mwako na tatizo hilo. Sijawahi kuona hilo wala sitegemei kuona hilo kwa tiba yoyote ile iwe ya asili kama hii yetu au iwe ya kitaalam ya madaktari.

Karibu sana kama una swaali lingine lolote. Nimependa sana challenge zako na ningefurahi zaidi urudi tena ili nijuwe wapi umeridhika na wapi hujaridhika jinsi tunavyoijadili Aunt Zainab's Natural Super Clay.

Asante sana.
 
Mimi nilikua nasubiri tu mrejesho kwa wale waliotumia lakini mpaka leo siku ya sita now sijapata mrejesho. Hii inamaanisha nini? @zainab tamim
 
Mimi nilikua nasubiri tu mrejesho kwa wale waliotumia lakini mpaka leo siku ya sita now sijapata mrejesho. Hii inamaanisha nini? @zainab tamim

Kuna post kama mbili humu watu wameleta mrejesho tayari moja iko hapo juu kidogo namba 174 na nyengine ipo nyuma zaidi sikumbuki namba ngapi.

Wengi wananipigia. Ngoja nikueleze kisa kimoja;

Jana nilikuwa harusini, ujue ninatembea na hii bidhaa yangu kila pahala tukikutana ujue ninayo karibu. Basi wateja waliorudia kuichukuwa kwangu ni zaidi ya kumi hao wa hapo kwenye harusi tu. Sifikirii kama haijawafaa kwa namna moja au nyengine kama wangerudi kuitaka tena.

Ya nini unasubiri mrejesho njoo uchukuwe bure uitumie, nitakupa ya wiki moja, ujionee matokeo wewe mwenyewe?

Karibu sana.
 
Back
Top Bottom