Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Jamani napenda kuwajulisha kuwa Aunt Zainab's Natural Super Clay inasaidia sana mtu akiunguwa moto. Inatibu palipoungua haraka sana mpaka inashangaza.
 
Napenda kuwajulisha kuwa Aunt Zainab's natural Super Clay pia imesaidia wengi wenye harufu kali ya jasho (kikwapa), ukiitumia, kikwapa kinapunguwa siku hiyo hiyo na kina kata kabisa ndani ya wiki moja na baada ya hapo unatumia wiki mara moja ku maintain kisirudi.

Unajisiriba sehemu zinazotoa jasho mwilini, kama vile kwapani, shingoni, usoni na popote unapohisi panatoka jasho, basi inapigana na bakteria wote wanaofanya jasho lako linuke.

Kwa kutoa harufu kali ya jasho mwilini, ninashauri mwenye tatizo hilo kwa siku tatu za mwanzo ajisiribe na kujikandika mwili mzima kuanzia kichwani mpaka vidoleni, mwili mzima, atafurahi sana kwa matokeo yake siku ya mwanzo tu yakuutumia:

207604051.jpg
 
Mtwara tunakusafirishia kwa mabasi. Bei Shillingi 3,500 ka pakti (mkebe) mmoja. Gharama za usafirishaji juu yako.

Mpigie Mzee Abdul 0756803528 kwa usafirishaji.

kuna dada nimewasiliana naye ni agent wako yupo lindi. cha ajabu haipo kwenye vi mfuko ipo kwenye chombo kama kibakuli chenye mfuniko, ndiyo hiyo hiyo???
 
kuna dada nimewasiliana naye ni agent wako yupo lindi. cha ajabu haipo kwenye vi mfuko ipo kwenye chombo kama kibakuli chenye mfuniko, ndiyo hiyo hiyo???

Kweli kabisa, ipo kwenye vi pakiti au sijuwi niviite vimkebe. Ngoja ntaweka picha yake.
 
Na bei ya huu udongo ni sh ngapi?

Mkebe mmoja ni 3,500 ambao kwa matumizi ya usoni au kichwani kila siku mara moja unaweza kuutumia siku kumi mpaka 14.

Kwa fungus za miguuni pekee huo mkebe mmoja unaweza ukakuponesha kabisa, inategemea na jinsi zilivyokuathiri.
 
Mm nimeenda kwa joyce fashion lakini anasema ni muda mrefu sana kama mwaka mmoja ..... wala hana mawasiliano na nyie kabisa muda mrefu .......nimepoteza mafuta yangu tu.
 
Mm nimeenda kwa joyce fashion lakini anasema ni muda mrefu sana kama mwaka mmoja ..... wala hana mawasiliano na nyie kabisa muda mrefu .......nimepoteza mafuta yangu tu.

Pole sana. wakala wa huko katuangusha, yeye ndiye anamsambazia Joyce, ngoja niliondoe jina lake kabisa.

Lakini hiyo ya mwaka mmoja hakuwa mkweli kwani toka tuanze kuuza hii bidhaa yetu haijafika mwaka , ndiyo kwanza miazi saba.

Unanidai udongo wa bure kwa usumbufu, uko wa[pi? nifanye mkakati wa kukuletea.
 
Bi Zainab, naona Zanzibar haujafika bado, nasubiri!

Samahani sana kaka, Zanzibar tumempa mtu aupekele kwa Dr. Sania, alichofanya yeye ni kuturudishia pesa tena leo hii asubuhi. anasema eti kaamua autumie yeye, kujuana kubaya.

Tunamtumia mwengine, In sha Allah, tutakujulisha.
 
mkuu kuhusu picha hata mm nina mashaka,ile ya juu ana ndevu zinaonekana kabisa!masikio pia ni tofauti,hebu weka evidence nyingine nikuletee wateja 10 fasta

Usiwe na mashaka, sina sababu ya kudanganya, huyo ni mtu mmoja, alipopiga picha za kwanza hatukutegea kama atazitumia kwa huu udongo, ni picha aliyosimama mimi nimeikuza nikakata kichwa. Camera tofauti na sehemu tofauti, ni huyo huyu mtu mmoja.

Na unazidi kuwa na mashaka kwa kuwa kwanza alikuwa na nywele na sasa hana, hayo ndiyo maajabu ya hii bidhaa.

Sina sababu ya kukuaminisha zaidi, unaweza kuwaleta hao watu wako ntawapa dawa bure, kisha ujionee mwenyewe. Utastaajabu zaidi.

Leo kuna mtu kanitumia message anasema haamini ni kweli au ni akili yake tu, na huyo kautumia yeye mwenyewe mwake na mwilini mwake mabadiliko anayoyaona baada ya kuutumia mfululizo wiki moja tu, akili yake haitaki kuamini.

Wala ndugu yangu mimi sishangai kwa wewe kusema hivyo.
 
Zainab Tamim nimesoma mitandaoni unaweza ukachanganya body clay na apple cider vinegar kutibu acne. Una experience yoyote kuhusu hili?

Kweli kabisa, hiyo kwa clay hizo za nje, ndiyo maana ninasema huu wetu wa Tanzania asilia 100% una ubora zaidi kwa sababu unatibu acne bila kuchanganya na vinegar, unachanganya huu udongo wetu na maji tu. Kila siku mara moja kwa wiki nzima mfululizo, matokeo yake utashangaa.

Tunashauri hata kama pimples, acne, black heads zimeondoka kwa siku mbili tatu, usiache kutumia kwa mwezi mzima mara moja kwa siku na baada ya hapo unaweza ku maintain uso wako kwa kutumia wiki mara mbili mpaka itafikia wiki mara moja.
 
Tofauti ya udongo huu na huo wa nje nini?

Mpaka leo napitia post za watu kwenye uzi huu bado sijapata mrejesho kwa watumiaji wako kama zimeanza kuota ama la. Please wadau kwa aliyetumia ikamsaidia katika kuotesha nywele (bald) asiwe mchoyo alete mrejesho pliiz!
 
Hawaamini matokeo! wapo waliotoa comment zao lakini labda wanangoja ipite wiki nne.

I am so proud of this product. Tazama hii nilioletewa kwenye message, akili yake haitaki kuyakubali matokeo:

Udongo sms.png

ankol, ninakushauri utumie wewe mwenyewe, halafu uje kusema humu humu JF matokeo yako.
 
Mpaka leo napitia post za watu kwenye uzi huu bado sijapata mrejesho kwa watumiaji wako kama zimeanza kuota ama la. Please wadau kwa aliyetumia ikamsaidia katika kuotesha nywele (bald) asiwe mchoyo alete mrejesho pliiz!

Hii sms ametumiwa Mume wangu leo hii, aliyeuvumba udongo huu hapa Tanzania kuwa upo, isome:

ushuhuda wa udongo.png
 
Hii sms ametumiwa Mume wangu leo hii, aliyeuvumba udongo huu hapa Tanzania kuwa upo, isome:

View attachment 271990

Basi weekend hii nitafika hapo jirani na B. Bar nije niufate maana na mimi ni kijana wa near thirty's lakini bald ishanianza kwa kasi na nishawahi tumia dawa hivi hivi za kupaka bila mafanikio ndio maana nikawa mpole kwanza katika hili.
 
Back
Top Bottom