Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #201
Mimi nitakuja kwako mwenyewe uniuzie maana vya bure si vizuri...
Hahaha usijali ndugu yangu, hii ni faraja kwetu.
Karibu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nitakuja kwako mwenyewe uniuzie maana vya bure si vizuri...
Mtwara tunakusafirishia kwa mabasi. Bei Shillingi 3,500 ka pakti (mkebe) mmoja. Gharama za usafirishaji juu yako.
Mpigie Mzee Abdul 0756803528 kwa usafirishaji.
kuna dada nimewasiliana naye ni agent wako yupo lindi. cha ajabu haipo kwenye vi mfuko ipo kwenye chombo kama kibakuli chenye mfuniko, ndiyo hiyo hiyo???
Na bei ya huu udongo ni sh ngapi?
Mm nimeenda kwa joyce fashion lakini anasema ni muda mrefu sana kama mwaka mmoja ..... wala hana mawasiliano na nyie kabisa muda mrefu .......nimepoteza mafuta yangu tu.
Bi Zainab, naona Zanzibar haujafika bado, nasubiri!
mkuu kuhusu picha hata mm nina mashaka,ile ya juu ana ndevu zinaonekana kabisa!masikio pia ni tofauti,hebu weka evidence nyingine nikuletee wateja 10 fasta
Zainab Tamim nimesoma mitandaoni unaweza ukachanganya body clay na apple cider vinegar kutibu acne. Una experience yoyote kuhusu hili?
kuna dada nimewasiliana naye ni agent wako yupo lindi. cha ajabu haipo kwenye vi mfuko ipo kwenye chombo kama kibakuli chenye mfuniko, ndiyo hiyo hiyo???
Kweli kabisa, ipo kwenye vi pakiti au sijuwi niviite vimkebe. Ngoja ntaweka picha yake.
Kweli kabisa, hiyo kwa clay hizo za nje, ndiyo maana ninasema huu wetu wa Tanzania asilia 100% una ubora zaidi kwa sababu unatibu acne bila kuchanganya na vinegar, unachanganya huu udongo wetu na maji tu. Kila siku mara moja kwa wiki nzima mfululizo, matokeo yake utashangaa.
Tunashauri hata kama pimples, acne, black heads zimeondoka kwa siku mbili tatu, usiache kutumia kwa mwezi mzima mara moja kwa siku na baada ya hapo unaweza ku maintain uso wako kwa kutumia wiki mara mbili mpaka itafikia wiki mara moja.
Tofauti ya udongo huu na huo wa nje nini?
Mpaka leo napitia post za watu kwenye uzi huu bado sijapata mrejesho kwa watumiaji wako kama zimeanza kuota ama la. Please wadau kwa aliyetumia ikamsaidia katika kuotesha nywele (bald) asiwe mchoyo alete mrejesho pliiz!

Hii sms ametumiwa Mume wangu leo hii, aliyeuvumba udongo huu hapa Tanzania kuwa upo, isome:
View attachment 271990