Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:

Before

View attachment 268739 View attachment 268761

Habri za Usiku huu wadau, nimeamua kuleta mrejesho baada ya kuitumia hii dawa kwenye eneo la kipara kichwani mwangu.NI MAAJABU - nilienda kuuchukua huu udongo kwake huyu mama, nilianza na mikebe miwili ili nione kama ni kweli.nimeitumia kwa siku tisa sasa nywele zimeanza kuota na cha ajabu zinakuwa black kama hizi za pembeni..niliamua kumpigia simu tena huyu dada kama mrejesho akashukuru lakini akaniomba nije humu jamvini ili nithibitishe hilo. Atakaye amini na amini tu.natumai nikitumia kwa wiki nne na zaidi zitajaa mana kipara kero sana.
 
Ninashukuru sana kwa mrejesho huu.

Ninaomba sana na wengine waliokwisha tumia walete mirejesho yao.

Nimefurahi sana na ninakutakia mafanikio mema.

Kuna mmoja kanitumia message nimeicli nikaiweka juu huko, yaani akili yake haiamini kama nywele zake zinaota.

Natamani ungekuwa na picha za kichwani za kabla hujaanza kutumia na sasa ilipofikia baada ya siku kumi.

Hii Aunt Zainab's Natural Super Clay ataeamini ataamini na asiyeamini namuomba ajaribu na ajionee mwenyewe matokeo. Binafsi sina sababu hata moja yakudanganya watu.

Asante sana nashukuru sana kwa kujitolea kuja kueleza hayo.
 
Leo nimepigiwa simu na mwandishi wa habari kutoka Kenya akitaka kujua zaidi kuhusu huu uvumbuzi wa hii tiba Tanzania.

Nimekataa kuongea zaidi kwa sababu ninadhani fursa hii inatakiwa iwe kwanza kwa waandishi wa habari wa hapa kwetu Tanzania. Nikamwambia asubiri kwa sasa, nitampigia nitakapokuwa na nafasi.

Ninakumbuka kuna siku mume wangu aliutangaza huu udongo wakati wa kuchangisha pesa za madeski pale Tambaza Secondary School na akagawa Aunt Zainab's Natural Super Clay bure kwa anaetaka kujaribu. Waandishi wa habari wakachukuwa namba zake na kusema watawasiliana nae wauelewe zaidi, lakini hawakufanya hivyo hadi hii leo.

Ninashangazwa sana na waandishi wa habari wa Tanzania kwa kutokuiona hii fursa ya kuzitangaza mali asili zetu na wa kutokea Kenya wameliona hilo na kunitafuta kwa simu.

Bado ninaamini na ninataka waandishi wetu ndiyo wawe wa kwanza kuitangaza hii habari njema.
 
Bi dada, kama hauna vibahasha waandishi wa habari wa Tanzania hawakusikilizi hata chembe. Kama unabisha muulize Pasco wa JF.

Lowasa kishawatia mfukoni wote kama alivyoitia mfukoni chagadema.

Mimi nnakushauri ongea na hao wa Kenya usiiachie hiyo fursa, waache hawa walale.

Ni mda mrefu sasa nimekuona ukiitangaza hii bidhaa yako adhim na adim hapa JF, nnakusifu sana kwa hilo, toka ulipoanza kwa mambo ya ngozi ukaja ya chunusi na mapele na sasa umekuja na haya ya nywele na bidhaa ni hiyo hiyo moja> na mimi ni mtumiaji mzuri sana wa hii bidhaa yako kwa mwilini na nnakuahidi sasa ntaitia kwenye nywele tena leo hii kuziweka sawa tu, na kwa muda wote huo sijaona malalamiko ingawa JF watu ni watata sana, hiyo pekee inaaminisha kuwa bidhaa yako ni bora na ni nzuri.

Nakusihi ongea na hao Wakenya. Watanzania macho wanayo lakini hayaoni, masikio wanayo lakini hayasikii. Na ntakwenda kuwaambia hilo, huko kwenye majukwaa yao.

Hongera sana Bi Zainab na mpe hongera nyingi sana Mzee Abdul kwa kuwa mvumbuzi wa kitu kizuri sana na chenye manufaa kwa kila mtu.
 
Slim5 nimetoka kuongea na Bi Zainab Tamim punde tu inshallah si muda mrefu nitapata utaratibu wa kuinunua dawa,kaniambia you will see results within first month,i will try and tell you kama ni utapeli at least nitapata muda wa nusu saa wa kujipaka tope to have quality time with a family infront of a tv!
But kwa jinsi anavyoongea nahisi ni mtu mwema hatatuonea sie vipara,nina hamu ya kunyoa kiduku mkuu!

Bi Zainab Tamim mstaarabu na mkweli mwanzo niliogopa ila sasa nauza kwa kuwa Wateja wanaleta Wateja wengine,
Bi Zainab Tamim kesho nikija nitakukuta?
 
Last edited by a moderator:
Dada Zainab naitaka hio dawa kwa udi na uvumba aise... Yaaani kesho kesho, tena kibao zingine nizitume saudia kwa brother... PM namba yako PLEASE.
 
Dada Zainab naitaka hio dawa kwa udi na uvumba aise... Yaaani kesho kesho, tena kibao zingine nizitume saudia kwa brother... PM namba yako PLEASE.

Namba zangu ni 0769302206 na Mzee Abdul 0756803528 (mume wangu).

Ninapenda kukujulisha kuwa Saudia upo Jeddah kwa sasa, alichukuwa kidogo shemeji yangu anaishi hapo, kaka yako anaweza kuwasiliana nae akampatia, namba yake ni +966 50 837 7494 anaitwa Hussein Shaft.

karibu sana.
 
Jana usiku nimefurahishwa sana na comment ya ManMoker hapo juu.

Mwanangu nimemuonesha post ya ManMoker kafurahi sana. Anasema sasa hata yeye anaamini kuwa kweli nywele zinaota kwa kasi mpaka watu hawaamini kuwa huyo ni yeye na sio watu tofauti.

Amecheka sana pale aliposoma kuwa hiyo picha ya kwanza ni ya mzee na ya pili ni ya kijana.

Ninawahakikishia huyo ni mtu mmoja, kabla na baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa muda mfupi sana.

Ninamtumia ManMoker kwa pm picha kamili zinazoonyesha sura ya mwanangu kabla na baada ili amuone vizuri kwa kumuhakikishia tu kuwa huyo mtu mmoja.

na mimi nionyeshe maana nina kipara kimoja hatari naku pm namba zangu za whatsapp
 
Last edited by a moderator:
Ninashukuru sana kwa mrejesho huu.

Ninaomba sana na wengine waliokwisha tumia walete mirejesho yao.

Nimefurahi sana na ninakutakia mafanikio mema.

Kuna mmoja kanitumia message nimeicli nikaiweka juu huko, yaani akili yake haiamini kama nywele zake zinaota.

Natamani ungekuwa na picha za kichwani za kabla hujaanza kutumia na sasa ilipofikia baada ya siku kumi.

Hii Aunt Zainab's Natural Super Clay ataeamini ataamini na asiyeamini namuomba ajaribu na ajionee mwenyewe matokeo. Binafsi sina sababu hata moja yakudanganya watu.

Asante sana nashukuru sana kwa kujitolea kuja kueleza hayo.

Asante picha ya kabla sijapaka ninayo tatizo jinsi ya kuappload humu ndo siwezi.
 
Fresh, sasa hivi:

Ninawaweka hii picha ili muone namna ya kujisiriba usoni na kichwani.

Unaona tofauti yake na masking za kawaida zenye kemikali)? Huu hata ukikuingia machoni hauna madhara wala hauwashi wala hauhisi michanga. Na kujipaka kwake si lazima ujipake nje kabisa ya jicho kama zile masking za madukani (zenye kemikali).

AnWvP7_iA7vw95tUvKISIIxhQKNRBGhdY3kSdMLQiGcJ.jpg
 
Vp hiyo dawa yako imethibitishwa na mamlaka husika(TBS/TFDA) ??

Hii sio dawa hii ni natural home remedy kama vile hinna au matunda au ule udongo wa kimasai, lukaria.

Haijatoka kiwandani wala haitengenezwi na binaadam ni natural ya Mwenyeezi Mungu 100%. Wala haina process yoyote ya utengenezaji.

Nilishawahi lijibu hilo swali mara nyingi tu:

Hii siyo dawa hii natural remedy kama vile hinna au matunda au ule udongo wa kimasai, toka lini ukasikia una TFDA?

Haijatoka kiwandani wala haitengezwi na binaadam ni natural ya Mwenyeezi Mungu 100%. Wala haina process yoyote ya utengenezaji.
 
Back
Top Bottom