Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #281
mimi niliopo mkoa wa Bukoba sijui nitaipataje maana jana nimemtafuta sana Mzee Abdul kwa namba ulizotuwekea ila hakupatikana
Samahanai sana kwa usumbufu, hapa mtaani kwetu barabara inarengenezwa kwa kutiwa lami na wanakata kata sana umeme kwa kuhamisha nguzo za umeme, ninauhakika upomtafuta Mzee Abdul itakuwa simu yake iliishiwa chaji au aliipeleka mtaa mwingine kuitilisha chaji, si kawaida kutopatikana kwenye simu.
Pia namba zetu zingine ni hizi:
Mzee Abdul 0756803528 na 0773484384.
Aunt Zainab ni 0769302206 au 0689771331 ni whatsapp pia.