Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

mimi niliopo mkoa wa Bukoba sijui nitaipataje maana jana nimemtafuta sana Mzee Abdul kwa namba ulizotuwekea ila hakupatikana

Samahanai sana kwa usumbufu, hapa mtaani kwetu barabara inarengenezwa kwa kutiwa lami na wanakata kata sana umeme kwa kuhamisha nguzo za umeme, ninauhakika upomtafuta Mzee Abdul itakuwa simu yake iliishiwa chaji au aliipeleka mtaa mwingine kuitilisha chaji, si kawaida kutopatikana kwenye simu.

Pia namba zetu zingine ni hizi:

Mzee Abdul 0756803528 na 0773484384.

Aunt Zainab ni 0769302206 au 0689771331 ni whatsapp pia.

Nimeanza kutumia hii dawa nitatoa majibu humu humu kama ni kweli itatibu!!

Vizuri sana, unaitumia kwa kutibu nini?

Halafu ningependa ifahamike kuwa hii si "dawa" hii ni "natural remedy". Tiba asilia.
 
Huo mkebe mmoja unatosha kufanya hiyo kazi mwili mzima Mara ngapi..

Kwa mwili mzima mara mbili mpaka 4 kama utajitia kama hao kwenye picha "full body mud bath", inategemea na uzito utakavyojipaka. Kuna mtu anatumia mkebe mmoja mara moja tu, anajikandika kweli kweli, mwili mzima haachi sehemu.
 
Ili nijue naagiza mikebe mi ngapi..Mimi na jamaa hapa nyumbani
mwana ally

Kama utapenda kuwa unajifanyia whole body mud bath na mpo zaidi ya mmoja mimi ninakushauri uchukuwe mikebe 6, nitakupa special rate ya 3,000 kwa mkebe mmoja ikiwa utachukuwa 6 au zaidi.

Baada ya kufanya full boy mud bath, feelings za furaha na raha utazozipta mimi ninashindwa kuzielezea. Jaribu.
 
Mkuu Bi. Zainab Tamim me napatikana chamanzi,nitapata wapi pale mbagala kuu
 
ClayMask.jpg

What is it?
An ancient remedy, used as a detoxifier for centuries for a number of different ailments (More info).
It's a very fine powder, derived from volcanic ash.

A number of high end spa brands actually use this as a base for treatment masks in their facials.

Now in Tanzania at affordable prices.

About the Product

  • World's most powerful facial
  • Deep pore cleaning
  • 100% natural clay
  • Does not contain: Additives, fragrances, animal products

Be proud, its a product of Tanzania. 100% Natural.

Aunt Zainab's Natural Super Clay ni kama ndoto na nzuri hata kwa wenye allergy ambao hawawezi kutumia masks na kufanya facials kwa dawa zenye kemikali.
 
habari dada,mie nipo nachingwea na nilikuwa nahitaji huduma yako,hivyo ningependa kujua nitaipataje kwa huku na kwa kiasi gani mpaka hapa nilipo.
 
Namba zenu mara hazipatikani, mkipatikana hampokei wala kujibu msg, mshaanza kunitia wasiwasi kiukweli japo mwanzo nilianza kuwaamini au hela imetosha
 
Back
Top Bottom