Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Basi weekend hii nitafika hapo jirani na B. Bar nije niufate maana na mimi ni kijana wa near thirty's lakini bald ishanianza kwa kasi na nishawahi tumia dawa hivi hivi za kupaka bila mafanikio ndio maana nikawa mpole kwanza katika hili.

Hahahah, chukulia kuwa si tatizo na kuna ufumbuzi tena mzuri tu na utafurahia.

Njoo, nitakupa mkebe wa kwanza bure, ukishaona matokeo, utarudi kuchukuwa dozi ya uhakika.

Hapo Sinza B Bar kuna pia Miller Bar kati kati yao kuna kinjia kinaingia ndani, unakuja nacho moja kwa moja mpaka mwisho wa njia, ndiyo hapo hapo.

Karibu sana.
 
Wengi wanauliza kuhusu bei za Aunt Zainab's Natural Super Clay, bei ni kama zifuatazo ukinunua kutoka kwetu:

Recommended retail Price ni TZS 3,500 kwa mkebe.

Wholesale Price ni TZS 3,000 kwa mkebe ( kuanzia mikebe 12).

Wasambazaji bei yao ni ile ile wanayonunuwa siku zote.
 
ebu tuache masihara jamani, hii dawa inatibu kipara kweli au inarefusha nywele kwa walio na nywele..

kama nywele zangu zinakua kama za robben zitarudi kweli?
 
ebu tuache masihara jamani, hii dawa inatibu kipara kweli?au inarefusha nywele kwa walio na nywele?

kama nywele zangu zinakua kama za robben zitarudi kweli? alietumia kuficha upara atoe ushuhuda hapa ukitoa mtoto wa Anty zainabu, nani mwingine?
 
ebu tuache masihara jamani, hii dawa inatibu kipara kweli au inarefusha nywele kwa walio na nywele..

kama nywele zangu zinakua kama za robben zitarudi kweli?

Kama ulizaliwa huna kipara, basi zinarudi.

Jaribu, Free of Charge, pakiti (mkebe) mmoja na kama ukiona imeanza kuleta mafanikio na hauna uwezo wa kununua basi tiba yote ni bure. Hulipii.
 
Nikukumbushana tu matumizi sahihi ya Aunt Zainab's Natural Super Clay...

Baada ya kuusiriba, kumbuka inatakiwa uusiribe (thick layer) na si kuupaka kama mafuta. Ni kama vile kupaka hinna.

Unatakiwa uuache ukauke kabisa ulipousiriba usiutoe mapema kabla haujakauka, unaweza hata kulala nao ukisha kauka.

Kila unapokaa zaidi mwilini ukiwa umekaukia hapo, ndio unafanya kazi vizuri zaidi.
 
Nina Kipara na nimeshatumia bidhaa nyingi lkn wapi, bila shaka we ni muislam na ni ijumaa leo ndani ya mwezi mtukufu, unauhakika na hichi ulichoweka hapa, watu tumeshatapeliwa sana na vipara vyetu vikageuzwa mitaji aisee
Slim5 nimetoka kuongea na Bi Zainab Tamim punde tu inshallah si muda mrefu nitapata utaratibu wa kuinunua dawa,kaniambia you will see results within first month,i will try and tell you kama ni utapeli at least nitapata muda wa nusu saa wa kujipaka tope to have quality time with a family infront of a tv!
But kwa jinsi anavyoongea nahisi ni mtu mwema hatatuonea sie vipara,nina hamu ya kunyoa kiduku mkuu!
 
Wala usiwe na hofu ndugu yangu, nipo tayari kukupa bure uujaribu. Hii ni shani yake Mwenyeezi mungu ni 100% Natural na siwezi kabisa kufanya utapeli, Mwenyeezi Mungu aniepushe na hilo.

Zanzibar kesho In sha Allah ntawajulisha nimefikia wapi katika kuusafirisha kuuleta huko.
 
Wengi wanauliza kuhusu bei za Aunt Zainab's Natural Super Clay, bei ni kama zifuatazo ukinunua kutoka kwetu:

Recommended retail Price ni TZS 3,500 kwa mkebe.

Wholesale Price ni TZS 3,000 kwa mkebe ( kuanzia mikebe 12).

Wasambazaji bei yao ni ile ile wanayonunuwa siku zote.

Ili nywele zianze nahitaji kutumia mikebe mingapi,maana dah!hatari huu ualaza unanifanya ninyoe kipara kila wakati bila kupenda,nichek kwenye avatar hapo,yan majanga!
 
Ili nywele zianze nahitaji kutumia mikebe mingapi,maana dah!hatari huu ualaza unanifanya ninyoe kipara kila wakati bila kupenda,nichek kwenye avatar hapo,yan majanga!

Wengi kuanzia mkebe wa kwanza tu wanaanza kuona tofauti na nywele zinaanza kurudi, matokeo mazuri kabisa.

Ninashauri dozi ya kwanza iwe mikebe minne mpaka sita kutumiwa kila siku mfululizo, mara moja kwa siku, ni vyema usiku wakati umepumzika na ukikauka unaweza kulala nao, ukikauka hauchafui mashuka wala foronya, ukiwa mbichi utaweka alama ya udongo kwenye mashuka lakini ukiyafua unatoka, hauachi madoa.

Karibu sana uutumie utafurahi. Ni 100% natural.
 
Je kikomo cha matumizi ni wapi ,namaanisha pale mgojwa hatohitaji tena kutumia hiyo mbolea ya kichwa!nifahamishe nna hamu ya kunyoa kiduku watu tuna miaka 30 utafikri hamsini na vipara vyetu vinavyong'aa kama reflector za trafick!
 
Hahahahaha imenibidi nicheke hiyo comment yako ya mwisho.

Kuhusu kikomo cha matumizi, ni wewe mwenyewe utapoona sasa mambo mazuri kabisa.

Pia huwa ninashauri hata mambo yakiwa mazuri kabisa, uendelee ku maintain wiki mara moja au mbili kama vile unavyotumia shampoo tu. Ili nywele zizidi kuwa na rutuba.
 
Kuna mtu aliuliza namna ya kufika kwangu, naona hii ramani itasaidia:

Location map.jpg
 
Je kikomo cha matumizi ni wapi ,namaanisha pale mgojwa hatohitaji tena kutumia hiyo mbolea ya kichwa!nifahamishe nna hamu ya kunyoa kiduku watu tuna miaka 30 utafikri hamsini na vipara vyetu vinavyong'aa kama reflector za trafick!

Ahsante Mama,

Zanzibar sehemu gani niifate?

Asalaam Alaikum.

Aunt Zainab's Natural Super Clay imeshafika Unguja.

Wasiliana na Dr. Sania 0773650480 au 0754650480

Asante.
 
nakushauri tu uwe mwangalifu wasije wajanja wakachukua jina la biashara yako wakaanza kuchakakua.

Ndugu yangu asante sana kwa ushauri wako, hivi sasa tatizo ni fedha tu lakini nimeshaanza kuongea na watu ambao tutafanya packing ya seal na security mars ambazo itakuwa vigumu kuzitengeneza bila kupitia kiwandani.

Nashukuru sana kwa ushauri wako, mwanzo mgumu.
 
Back
Top Bottom