Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #221
Basi weekend hii nitafika hapo jirani na B. Bar nije niufate maana na mimi ni kijana wa near thirty's lakini bald ishanianza kwa kasi na nishawahi tumia dawa hivi hivi za kupaka bila mafanikio ndio maana nikawa mpole kwanza katika hili.
Hahahah, chukulia kuwa si tatizo na kuna ufumbuzi tena mzuri tu na utafurahia.
Njoo, nitakupa mkebe wa kwanza bure, ukishaona matokeo, utarudi kuchukuwa dozi ya uhakika.
Hapo Sinza B Bar kuna pia Miller Bar kati kati yao kuna kinjia kinaingia ndani, unakuja nacho moja kwa moja mpaka mwisho wa njia, ndiyo hapo hapo.
Karibu sana.
