msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.
Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:
Before
View attachment 268739 View attachment 268761
Habri za Usiku huu wadau, nimeamua kuleta mrejesho baada ya kuitumia hii dawa kwenye eneo la kipara kichwani mwangu.NI MAAJABU - nilienda kuuchukua huu udongo kwake huyu mama, nilianza na mikebe miwili ili nione kama ni kweli.nimeitumia kwa siku tisa sasa nywele zimeanza kuota na cha ajabu zinakuwa black kama hizi za pembeni..niliamua kumpigia simu tena huyu dada kama mrejesho akashukuru lakini akaniomba nije humu jamvini ili nithibitishe hilo. Atakaye amini na amini tu.natumai nikitumia kwa wiki nne na zaidi zitajaa mana kipara kero sana.