Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

MM bado natumia vimefika 4 sasa lakini bado mabadiliko labda nikimaliza 6 ndo nitabadilika.nilihaidi nitaleta mrejesho humu mnivumilie tu.
 
Tunapenda kuwafahamisha kuwa msambazaji wetu wa Kimara, Ubungo na Mbezi amebadili namba za simu na sasa anapatikana kwa namba hizi:

Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack- 0755155782
 
Leo nimefarijika sana.

Kuna mtu aliitumia hii tiba yetu na akanipigia simu mwezi uliopita kusema kapaka wiki 6 haoni mabadiliko, nikamwambia aje tumrudishie pesa zake. Leo kanipigia simu anasema anashangaa sana sasa hivi anaona nywele zinakuja mule zilimokuwa hazioti.

Hii imenifariji sana.

Kumbe upo kwenye Majaribio kwa Watu?
 
Kumbe upo kwenye Majaribio kwa Watu?

Hii tiba ya asili haihitaji majaribio, ipo na inatumika duniani kwa miaka mingi sana, imeshafanyiwa majaribio mengi sana ya kila namna.

Hayo niliyoelezea ni matokeo, sio majaribio.

Na hilo la kurudisha pesa ni "money back guarantee", kama wewe haijakufaa kwanini nile pesa zako?
 
Yaani ukisemaga hivi ndo huwa napata NGUVU YA KUTAKA KUNUNUA
 
Jamani leteni mrejesho basi tuvamie hiyo dawa mi nimeshachoka na hiki kipara.
 
Kampeni ya tokomeza wenye vipara Duniani imeshika kasi..... safari hii imekuja kwa bei Nafuu kama Salama Ndom...
 
Kampeni ya tokomeza wenye vipara Duniani imeshika kasi..... safari hii imekuja kwa bei Nafuu kama Salama Ndom...

Ha ha ha ha haha.

Umenivunja mbavu. Nyie vijana wa JF mna vituko.
 
Jamani leteni mrejesho basi tuvamie hiyo dawa mi nimeshachoka na hiki kipara.

Usingoje kuhadithiwa, tumia wewe mwenyewe. Ni Money back guarantee, no questions asked.

Na kama unataka kujaribu tu, njoo chukua bure.
 
Napenda kuwajulisha ndugu zangu wote.

Wale wenye matatizo ya ngozi aina zote, vidonda sugu, gas, ulcers, chunusi, vidonda ndugu, fungus na hawana uwezo wa kulipia, ninawaomba waje wachukuwe bure hii tiba yetu mbadala bila kulipia hata senti moja.

Hii ni tiba pekee ambayo ukinunua na kukusaidia basi umelipia na tiba kwa wengine wasio na uwezo wa kununua.
 
Kama unasubuliwa na Gas na na acidity na vidonda vya tumbo, unachukuwa Aunt Zainab's Natural Super Clay kijiko kimoja cha chakula unakoroga na maji glass moja ya kawaida au kikombe kimoja cha chai, maji yasiwe ya baridi wala ya moto sana, unakunywa mara moja asubuhi kabla hujala kitu, kila siku kwa mwezi mmoja mfululizo, matokeo mazuri ni baada siku tatu tu.
 
Back
Top Bottom