Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #401
hazina side effect?
Hazina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hazina side effect?
Leo nimefarijika sana.
Kuna mtu aliitumia hii tiba yetu na akanipigia simu mwezi uliopita kusema kapaka wiki 6 haoni mabadiliko, nikamwambia aje tumrudishie pesa zake. Leo kanipigia simu anasema anashangaa sana sasa hivi anaona nywele zinakuja mule zilimokuwa hazioti.
Hii imenifariji sana.
Kumbe upo kwenye Majaribio kwa Watu?
Hii tiba ya asili haihitaji majaribio, ipo na inatumika duniani kwa miaka mingi sana, imeshafanyiwa majaribio mengi sana ya kila namna.
Hayo niliyoelezea ni matokeo, sio majaribio.
Na hilo la kurudisha pesa ni "money back guarantee", kama wewe haijakufaa kwanini nile pesa zako?
Jamani leteni mrejesho basi tuvamie hiyo dawa mi nimeshachoka na hiki kipara.
Kampeni ya tokomeza wenye vipara Duniani imeshika kasi..... safari hii imekuja kwa bei Nafuu kama Salama Ndom...
Jamani leteni mrejesho basi tuvamie hiyo dawa mi nimeshachoka na hiki kipara.
Yaani ukisemaga hivi ndo huwa napata NGUVU YA KUTAKA KUNUNUA
Jamani leteni mrejesho basi tuvamie hiyo dawa mi nimeshachoka na hiki kipara.