Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

unajua maswala ya afya kama haya yanahitaj mtu au mtaalam awe serious na uhakika na anachokizungumza isiwe ni kwa ajil ya maslah ya pesa amwogope mungu wake ajue siku 1 ataulzwa baada ya kufa kwan kufa ni lzm hata asieamini mungu, kwa kutambua hili namimi namtaka mtoa uzi atuhakikishie hili kama alvymtaka mwenzangu CMBC Mlalahoi, mm nna tatzo la chunusi kuharibu uso mng na nimeshatumia bidhaa nyingi lkn wapi, bila shaka we ni muislam, (na hata kama sio muilam) unauhakika na hichi ulichoweka hapa, watu tumeshatapeliwa sana na matatzo yetu lkn hatujaona mafanikio yoyote. Tunaomba uhakika mm ntakueletea wny tatzo kama lng endapo utatuhakikishia KAMA SIVYO BASI NI UONGO JIANDAE NA MAJIBU KWA ALIEKUUUMBA. wasalam
 
Hiyo dawa inapatiakana maduka yepi?

Dar es Salaam

Dar Home Delivery:
Abdul= 0756803528
Kijitonyama - Vivian Mshomi - Stendi ya Makumbusho - 0757176678 / 078476678 / 071576678 / 0776154933

Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack- 0755155782

Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.

Sinza = Aunt Zainab - 0769302206

Tabata = Yusuph Mushi - 0715488669

Zanzibar (Unguja)

Dr. S. Shafi 0754650480

Arusha

Mama Aida -0754445733

Dodoma

Rukia - 0653249898

Mbeya

Haule - 0756994850 na 0784658349

Mwanza

Petty - 0763772636
 
unajua maswala ya afya kama haya yanahitaj mtu au mtaalam awe serious na uhakika na anachokizungumza isiwe ni kwa ajil ya maslah ya pesa amwogope mungu wake ajue siku 1 ataulzwa baada ya kufa kwan kufa ni lzm hata asieamini mungu, kwa kutambua hili namimi namtaka mtoa uzi atuhakikishie hili kama alvymtaka mwenzangu CMBC Mlalahoi, mm nna tatzo la chunusi kuharibu uso mng na nimeshatumia bidhaa nyingi lkn wapi, bila shaka we ni muislam, (na hata kama sio muilam) unauhakika na hichi ulichoweka hapa, watu tumeshatapeliwa sana na matatzo yetu lkn hatujaona mafanikio yoyote. Tunaomba uhakika mm ntakueletea wny tatzo kama lng endapo utatuhakikishia KAMA SIVYO BASI NI UONGO JIANDAE NA MAJIBU KWA ALIEKUUUMBA. wasalam

Asante sana kwa nasaha zako njema sana.

Licha ya kuwa na uhakika wa hii tiba mbadala kwa kuwa imesaidia wengi sana, ukipitia vizuri huu uzi utaona nimesema kuwa hii ni tiba mbadala pekee ambayo tonatoa "money back guarantee", yaani kama haikukufaa katika matumizi yako unarudishiwa pesa zako. Pia imeandika huko juu kuwa asie na uwezo aje kuchukuwa bure bila kulipia hata senti tano.

Ndugu yangu ningependa uje uchukuwe hii tiba yetu na usilipie chochote mpaka utapojiona kuwa umefanikiwa.
 
MM bado natumia vimefika 4 sasa lakini bado mabadiliko labda nikimaliza 6 ndo nitabadilika.nilihaidi nitaleta mrejesho humu mnivumilie tu.

mkuu vipi naona wiki sita zimekata
 
Sheria inakataza watoa huduma za afya kujitangaza kibiashara...ndio maana hujawahi kusikia matangaxo ya hospitali ya Ocean road,.mabingwa wa tiba ya kansa.....wanaojitangaza ni matapeli na hawajui hata miiko ya taaluma ya afya...STUKAH!
 
Hii si huduma ya afya. Huu ni udongo natural unaopatikana Tanzania na ni kipodozi cha asili kama vile hinna, liwa, udi na vinginevyo.

Inasaidia sana kuweka ngozi yako kuwa nyororo na mvuto na inasaidia sana kufanya nywele zako ziwe nzuri na huzuia kukatika katika na pia huotesha wengi waliokatika katika nywele.

Hatuna sababu ya kukutapeli kwani kama hauna uwezo wa kununua tunakupa bure.

Jivunie mali asili ya nchi yako.

Pitia hapa uone matumizi yake: https://www.jamiiforums.com/matanga...inisha-ngozi-sasa-unapatikana.html?highlight=
 
Ok. Kwa lugha ingine imetengenezwaje? Namaanisha ni mchanganyiko wa nini? Huo udongo tu?

Huu ni udongo asilia wa zamani sana uliotokana na majivu ya volcano, kwa hapa kwetu na huu tulionao umepatikana meter 40 chini ya ardhi, hapa hapa Tanzania.

Ni natural na haujatengenezwa na binaadam na hakuna process yoyote ya kuutengeneza, sisi tunauchimba tu na kuuweka kwenye mikebe.
 
Udongo umefeliiiiiiiiiii, hakuna mrejesho, tunaomba picha ya yule mwanao kwa sasa au mtu mwingine aliyefanikisha kuotesha nywele
 
Back
Top Bottom