Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Page 22 zote, watu wanasema tutaleta mrejesho halafu wanakimbia.

Wazee mrejesho vipi?
 
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:

Before

View attachment 268739 View attachment 268761
Dawa yako inaweza kuwa nzuri ila kinachoogopesha watu wanaweza tumia na nywele zikaota ila sasa watakapoacha kuitumia nywele zitapotea tena na hii itawafanya wawe watumwa wa dawa zako sabu itabidi kwa gharama yeyote wanunue tu ili upara wao usionekane. Labda utueleze huyo mwanao hapo chini ni lini ameacha kutumia hiyo dawa kama ameshapona au ndo anaendelea kupaka kila siku!?
 
Unachukuwa hii Aunt Zainab's Natural Super Clay kiasi ya kijiko kimoja cha chakula, unachanganya na maji iwe nzito nzito kama ugali laini au uji mzito, unapaka kichwa chote wakati upo nyumbani na ukikauka unalala nao, asubuhi unakoga tu kama kawaida. Ukikauka hauchafui nguo wala mashuka ya kitanda.

Mwanangu nilieweka picha zake hapo ndivyo alivyotumia na matokeo ni hayo baada ya wiki nne.
this is too good to be true, ngoja nitafute waliotumia wanipe mrejesho
 
Back
Top Bottom