Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Huo mrejesho lazima uwe bias, ataanzaje kutoa mrejesho hasi? Tunataka watumiaji mkuu.
Atuonyeshe hata picha za mwanae basi tuone maendeleo...Ila nimempenda aliposema unaweza kutumia kwanza ndo ukamlipa au ukitumia bila kupata matokeo unarudishiwa pesa yako..Swali linakuja hiyo dawa haina side effects..Usije ukatumia ndo ukakipalilia kipara zaidi
 
Picha ya mwanae ile pale lakini haioneshi vizuri.
 
Hivi uongozi wa JamiiForums unachukua hatua gani dhidi ya hawa watu ambao sio waaminifu? huyu mtu a/c yake iko verified na mara ya mwisho kalogin april mwaka huu, number zake zote ukipiga hazijibiwi.
 
Attachments

  • bandicam 2016-07-27 14-20-30-106.jpg
    bandicam 2016-07-27 14-20-30-106.jpg
    40.3 KB · Views: 62
Hivi uongozi wa JamiiForums unachukua hatua gani dhidi ya hawa watu ambao sio waaminifu? huyu mtu a/c yake iko verified na mara ya mwisho kalogin april mwaka huu, number zake zote ukipiga hazijibiwi.

Ni bahati mbaya tu, nipo shamba kwa sasa na mitandao inaleta tabu ama muda wa kukaa na simu shambani unakuwa mdogo. Unaweza kunipata kirahisi kwenye whatssap kwa sasa kupitia namba 0625249606.

Samahani kwa usumbufu.
 
Back
Top Bottom