Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Teh teh..Mwenye uzi atupe mrejesho mwenyewePage 22 zote, watu wanasema tutaleta mrejesho halafu wanakimbia.
Wazee mrejesho vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh..Mwenye uzi atupe mrejesho mwenyewePage 22 zote, watu wanasema tutaleta mrejesho halafu wanakimbia.
Wazee mrejesho vipi?
Teh teh..Mwenye uzi atupe mrejesho mwenyewe
Atuonyeshe hata picha za mwanae basi tuone maendeleo...Ila nimempenda aliposema unaweza kutumia kwanza ndo ukamlipa au ukitumia bila kupata matokeo unarudishiwa pesa yako..Swali linakuja hiyo dawa haina side effects..Usije ukatumia ndo ukakipalilia kipara zaidiHuo mrejesho lazima uwe bias, ataanzaje kutoa mrejesho hasi? Tunataka watumiaji mkuu.
Atuonyeshe hata picha za mwanae basi tuone maendeleo...Ila nimempenda aliposema unaweza kutumia kwanza ndo ukamlipa au ukitumia bila kupata matokeo unarudishiwa pesa yako..Swali linakuja hiyo dawa haina side effects..Usije ukatumia ndo ukakipalilia kipara zaidi
Aliweka zamani tunataka ya sasa hivi baada ya kujisiliba udongoPicha ya mwanae ile pale lakini haioneshi vizuri.
Alisema ataweka nyingine..Ila tunaona kimyaPicha ya mwanae ile pale lakini haioneshi vizuri.
Labda ndo ule usemi kimya kingi kina mshindo mkuuAlisema ataweka nyingine..Ila tunaona kimya
Basi tuwe na subiraLabda ndo ule usemi kimya kingi kina mshindo mkuu
Alisema ataweka nyingine..Ila tunaona kimya
Nilikosa nafasi kwasababu nilikuwa na program flani iliyonilazimisha kukaa kambi kwa miez kadhaa so nikacancel ata sikununuaMkuu wewe si ulinunua ama?
Uzi umekufa? Ama nini?
Hahahaa...chezea kupakwa tope kichwani wewe, nani alete mrejesho hapa ajulikane!!??..kekundu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja tusubiri, watu nao wanaogopa kuleta mirejesho yao.
Zainabu katutelekeza
Hivi uongozi wa JamiiForums unachukua hatua gani dhidi ya hawa watu ambao sio waaminifu? huyu mtu a/c yake iko verified na mara ya mwisho kalogin april mwaka huu, number zake zote ukipiga hazijibiwi.
Hahahaa...chezea kupakwa tope kichwani wewe, nani alete mrejesho hapa ajulikane!!??..kekundu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]