Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli.

Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
 
Attachments

  • matiyabo_drc_1639847459322780.mp4
    1,019.6 KB
Ni mwanaume fala tu ndie atakae tuma huo ujumbe ila anaejielewa atajiuliza lijamaa limepata wapi namba ya mke wake.
 
Back
Top Bottom