Hii post paid ipojeMimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid.
Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
Mtandao gani?
Na bado ukute unajibana🙇🏼♀️60000
🤣🤣🤣Daaah mimi hata sielewi ila najiungaga cha buku 3 cha wiki kinakaa siku mbili au tatu naunga tena.
HongeraNatumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.
Duh si mchezo60,000
Laki na 50 kwa mwezi...hongera5000 GB 2.4 kila siku
Uko vizuri100k
Home wifi sio?Superkasi kwa 120,000 for my entire family
Tufundishe mkuuu na sisi tu host aseeNatumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.
Yes mkuu unlimited kwa mwezHome wifi sio?
Unaenda tigo shop unasaini mkataba wanakuungaHii post paid ipoje
Kasi yake ipoje ukiunga kwa vifaa vingiYes mkuu unlimoted kwa mwez
Airtel SME?20,000 Gb 15, dk 600 airtel
Speed yake ni mpaka mb 30 kwa matumizi ya kawaida poa sana. Kustream movies ila mimi naitumia sana kwenye video calls. Iko poa kwa kweli maana naunga laptops mbili, TV, na simu 4Kasi yake ipoje ukiunga kwa vifaa vingi