Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
So wastani wako wewe ni 25K per monthDaaah mimi hata sielewi ila najiungaga cha buku 3 cha wiki kinakaa siku mbili au tatu naunga tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So wastani wako wewe ni 25K per monthDaaah mimi hata sielewi ila najiungaga cha buku 3 cha wiki kinakaa siku mbili au tatu naunga tena.
Mara nyingi haziishiDakika 2,000 unazimaliza kwa mwezi? Au hazikutoshi?
Umeliwa sana mkuuuu 😅😅😅Mbona we unapata mserereko!! Mie Tshs. 50,000 naambulia 24 gb. Hiyo postpaid unajiungaje Vodacom?
YesWiFi??
Mie situmii tiktok wala Instagram lkn Netflix inanikomeshaSitumiagi TikTok kwaiyo la elfu tatu Kwa wiki angalau lina Kaa Kaa kama Siku nne hivi
Nipe maujanja nduguUmeliwa sana mkuuuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Tigo najiungaje postpaid?Nenda Tigo Voda hawana hiyo huduma
Kwani ukinifanyia mpango na mimi itakuwaje.....?🙄Natumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.
Hamia sme ya airtel mkuuu uache kuliwa kiboya 😁😁😁 chukua namba za huyu mdada akuunge chap 0689491969Nipe maujanja ndugu
Wanakuibiaje?!Hawa watoa huduma ya mtandao wameshakuwa wezi tu ukimudu kulipa vizuri GB 30@ TSH 50000 wanakupandishia
Airtel wapoje kwenye kasi ya mtandao?Hamia sme ya airtel mkuuu uache kuliwa kiboya [emoji16][emoji16][emoji16] chukua namba za huyu mdada akuunge chap 0689491969
Wapo good sana mtandao haushuki shuki hovyo hovyo mkuuu
Tatizo eneo letu huku Airtel ni majangaHamia sme ya airtel mkuuu uache kuliwa kiboya [emoji16][emoji16][emoji16] chukua namba za huyu mdada akuunge chap 0689491969
Hamia AirtelHawa watoa huduma ya mtandao wameshakuwa wezi tu ukimudu kulipa vizuri GB 30@ TSH 50000 wanakupandishia
Sijawahi kutumia tiktok wala kushuhudia mtu akitumia tiktok. Yani sijui hata app ukiingia ikoje. Pia snapchat nayo sijawah kuitumia wala kuona mtu yuko snapchat.Mie situmii tiktok wala Instagram lkn Netflix inanikomesha
Ebu nitajaribu. Natumia Halotel na Voda siwaelew elewWapo good sana mtandao haushuki shuki hovyo hovyo mkuuu
Ni just once in a while [emoji16][emoji16][emoji16]