Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Dah Asante sana sikujua kama kuna hicho kitu muda mwingi niko vijijini halotel ndo inashika nakua sina chaguo ila Asante kwa kunipa ujanja ni muhimu niitafute

Je vifurushi vyake vya internet vipoje ni rahisi sana?
Rahisi sana..very affordable nenda Ofisi za Tigo zilizo karibu yako beba ID yako na Copy ya Business License..utapewa Menu zao na kua enrolled
 
Ni kawaida kama vpn au proxy software zinavyo tunnel connection, mfano ha tunnel, lakini hii nimehost mwenyewe siwezi share na mtu cause once ikiwa public isp wanafahamu na kuku block, kwenye server nimehost v2ray.
Vitu gani unaongea msomi unaongea as if kwamba kila mtu anakusomaa an kukuelewaa

Certificate Cha IT TU unasumbua hv
 
Back
Top Bottom