Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Haya ndo matumizi yangu kwa siku.
 

Attachments

  • images (8).jpeg
    images (8).jpeg
    40.6 KB · Views: 7
Mtachagua kuhamia burundi au?


Burundi unapata GB 30 'Usiku pack' chini ya dola moja.
 
Wanasema voda hawana huduma hiyo. Mpaka Tigo tu. Na mie tigo siwakubali. Huku kwetu speed yao ovyo kabisa
Daaah mm natumia voda tu bando huwa linanimalizia sana pesa japo nafanya KWA ajili ya biashara, hakuna namna nyingine mkuu KWA voda naomba muongozo ndugu🙏
 
Back
Top Bottom