Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Yah ni kweli sijui mkataba ukiisha itakuaje
Mkataba unaisha baada ya mda gani ? Sikusoma kipengele ata kimoja siku nasaini mimi nilikuwa nawaza hizo gbs TU , tena walijaza Kila kitu wenyewe nakakabidhi nakacharaza wino nikasempa.
Moja ya hasara nilipata kutokana na kutosoma ni kuwa BANDO zako zote zitafutika wakati line yako inamishwa kutoka mfumo wa kawaida kwenda postpaid,
 
Wale wasenge wa Zuku wanakera kinoma. Yani badala waunganishe maeneo yote ya Dar wao wamekazania kuwaunganisha washua na wafanyabiashara wa eneo la Ilala tu na Kinondoni.
watu wa Kimara zamu yenu itafika mkuu, hata ungekua wewe ndo CEO wa Zuku lazima ungeweka kwanza kwa washua wa Kariakoo na Kinondoni upige mihela😅
 
watu wa Kimara zamu yenu itafika mkuu, hata ungekua wewe ndo CEO wa Zuku lazima ungeweka kwanza kwa washua wa Kariakoo na Kinondoni upige mihela😅
Hahahah ila uonevu huo. Watumiaji tuko wengi bana
 
Speed yake ni mpaka mb 30 kwa matumizi ya kawaida poa sana. Kustream movies ila mimi naitumia sana kwenye video calls. Iko poa kwa kweli maana naunga laptops mbili, TV, na simu 4
Du mb 30 ndiyo inaitwa super kasi? Kweli Bongo bado sana. Sehemu niliko sasa hivi kwa sh za kitanzania 63, 000 kwa mwezi napata 1000 mbps
 
Ni uraibu sitaki hata kujua, imenishika naona km vile jamii yangu iko kny internet, nikikosa nahis nimetengwa so naunga tu.

NIFANYEJE NIEPUKE HILI BALAA??
 
Mkataba unaisha baada ya mda gani ? Sikusoma kipengele ata kimoja siku nasaini mimi nilikuwa nawaza hizo gbs TU , tena walijaza Kila kitu wenyewe nakakabidhi nakacharaza wino nikasempa.
Moja ya hasara nilipata kutokana na kutosoma ni kuwa BANDO zako zote zitafutika wakati line yako inamishwa kutoka mfumo wa kawaida kwenda postpaid,
Mwaka mmoja japo wengine miaka miwili
 
Ni kawaida kama vpn au proxy software zinavyo tunnel connection, mfano ha tunnel, lakini hii nimehost mwenyewe siwezi share na mtu cause once ikiwa public isp wanafahamu na kuku block, kwenye server nimehost v2ray.
Meaada nisaidie
 
Back
Top Bottom